Tonny Kapola Gas Station
JF-Expert Member
- Aug 14, 2025
- 948
- 3,079
Mpaka kufika 2030 wengi sana watakuwa wameshapukutishwa. Acha yamalizane!
MmmhMwenge unazimwa na kijana Deogratius, jamaa zangu waliopo kwa wafipa wanasema hakuna dalili za Bi Msumi kutokea huko.
Kuna picha nimezipata hapa, jamaa wanakagua mazingira ambayo Mwgu atapita. Inaonekana issue ya usalama imeimarika sana.Nategemea Taarifa zako Mkuu uni tag
Mama samia alishasema Katiba yetu ni nzuri sana. Tunaweza kufanya mabadiliko ya viongozi bila kupata changamoto.Mmmh
Kama ni hivo kweli uchaguzi ufanyike upya mara hii uwe huru na haki.
Au mchakato wa katiba mpya uanze mara moja.
La sivyo mambo haya yatakuwa yanajirudia kila mara
Huwenda akaonekana kwenye kilele cha mbio za mwenge, SumbawangaPale usalama makumbusho askari wa usalama wa taifa wamejaa eneo lote along Bagamoyo rd!! Kuna kitu hakiko sawa. Tusubiri maana muda ni mwalimu mzuri.
Diarra kakaa chini kwa heshima na goal saaaafi bila lawama elie mp-34 akatia kamba! Watu gooooooooalNaaam Naam! Soma nambaa hiyooooooo 34 hatariiiiiiiiii.
😂😂😂😂😂
wameboresha kuaribu kabisa mfumo.📌🔨❕❗Sasa ngoja nikuambie ndugu yangu mshana...unaweza sema Kwa Sasa jamaa wameboresha mfumo...ni kweli kabisa ila wameboresha kuaribu kabisa mfumo...Kwa Sasa ndani ya mfumo ili upate kazi pale kitengoni Wala upiti kwenye lile chekecheo lao la kila siku.
Ni kwamba jamaa wanaenda pale Lumumba na kuomba majina ya vijana wa Ccm watiifu na machawa wanawafanyia recruitment na kuwaingiza mzigoni, wengine wanawarithisha watoto wao kazi.
Mwisho wa siku mfumo mzima unafanya kazi kichama na kuweka mkazo wa kukilinda Chama pamoja na viongozi wao, wanasahau kulinda nchi pamoja na Wananchi wao.... that's way nakuambia wameboresha kuaribu mifumo.
🔥🔥🔥Diarra kakaa chini kwa heshima na goal saaaafi bila lawama elie mp-34 akatia kamba! Watu gooooooooal
Keletso ni jiwe kuu walilolikataa waashi, limegeuka jiwe kuu la pembeni.Wakati STEVE BARKER ANAFANYA SUB (CHAMA OUT>KALETSO IN ,Aisee niliguna ila kilichotokea niliduwaaa
Mimi nimeacha bia toka mwaka 2024 lakini ikitokea hiyo nitahamia bar siku 4Mkuu kua na huruma na hii afya yangu maana kama itakua kwel ntaweka special order TBL.
Iwe kwel tu.Mimi nimeacha bia toka mwaka 2024 lakini ikitokea hiyo nitahamia bar siku 4
TISS ya Kambarage na TISS hii ya sasa iliyojaa chawa waliokulia ndani ya UVCCM ni vitu viwili tofauti kabisa, hakuna wenye kujali maslahi ya nchi yaani wote ni chawa wa wale waliowaingiza kwenye system.Mmmh ila INTELLIGENCE ya nchi imefeli sana . Ipo much compromised hasa recently . Rais ana dictate terms ambazo aftermath yake tunaweza kuja kuoona baadae
Hapa ni kuomba huyu mama amalize muda wake mambo yaanze upya
Rais Samia was nightmare to our country , she lost a control and currently she does not know what else to do , ametika ukomo na nchi kwa sasa inajiendea mradi siku ziende
Samia is a nightmare to our country
The failure of the intelligence systems , total failure
Wanazungumziwa hao hao haramu, pamoja na uharamu wao wanapaswa kufa tu kwani wanazidi kuharibu.Hawa waliopo sasa mnawatambua au ni viongozi haramu?
Hivi bado unayo matumaini ya 'stability' na hili kundi mnalolitegemea?Hadi wewe mzee wa logic umeingizwa king, na umeingia!
Umejipa jina usilostahili kabisa!Hadi wewe mzee wa logic umeingizwa king, na umeingia!
HHadi wewe mzee wa logic umeingizwa king, na umeingia!
Bahati yako mbaya ni kutojua 'lojic' ya hayo maneno inakolalia.Hadi wewe mzee wa logic umeingizwa king, na umeingia!
Wakuu,
Mwaka 1973 Spiro Agnew alijiuzulu nafasi ya makamu wa Rais wa Marekani kufuatia skendo ya rushwa na matumizi mabaya ya ofisi ikiwemo kukwepa kodi alikofanya wakati ni governor wa Maryland. Rais Richard Nixon akamteua Gerald Ford kuchukua nafasi yake.
August ya mwaka 1974, Rais Richard Nixon alijiuzulu kufuatia skendo ya Watergate. Hapo ikabidi makamu wa Rais, bwana Gerald Ford aapishwe kuwa Rais wa Marekani.
Unaweza kuona jinsi Ford alivyokuwa na bahati. Hakuwahi kugombea umakamu wa Rais au Urais wenyewe lakini alishika vyeo vyote hivyo kwa nyakati tofauti zinazofuatana...
- Tumia akili
- kodi kugombea marekani rais
- Replies: 1,151
- Forum: Habari na Hoja mchanganyiko
Tatizo ni kwamba rais bado atakuwa mpemba, mana yule jamaa sio mtu wa Dodoma wala sio mkristo