Q😂😂Nimempigia jamaa yangu shambani huko kijijini Anichekie mbuzi watatu walionona awalishe vizuri ,
Huyo wanasema kafia kwenye kidonda🤔.Kama siyo milk shake!Sote tunafahamu ya kwamba wameboresha mno kitengo cha propaganda hasa kwenye eneo la kutengeneza sinema zetu.. Japo hazina ubora lakini wanajitahidi Sana!
Hofu kuu ikitajwa kama 92OM...!
Je ni hofu?
Je ni woga?
Je ni wasiwasi?
Je ni jakamoyo?
Ya kwamba ninini kitatokea na hatima yake ni ipi?
Kitengo kiko kazini na hakuna kulala
Kama kuna watu wanakula mpaka wanavimbiwa na kusaza.. Kitengo kinafaa kuingizwa kwenye Guiness the book of records!
Masantula wamempeleka kwa malikia ili wamkaange vizuri.. Akirejea ngamani atajikuta keshaiva bila kujua alipikwa saa ngapi!
Hata kama ana gonjeka.. Lakini kupangwa kupo!. Hata ile ya akili mnemba ilitengenezwa makusudicallyView attachment 3689539
Mkuu mbona unanitisha what is this?,ndio narogwa hivyo?Hapana mkuuView attachment 3689680
StrokeKumbe anaumwa?
Yesu akasema..mimi nimekuja duniani kuwafanya vipofu na viziwi wawe wanaona na kusikia na wale wasio vipofu na viziwi wawe vipofu na viziwi..Usikimbie swali
Na Hao alikuwa akiwaambia walikuwa vipofu na viziwi Kama wewe?
Tumia akili kutambua hiyo lugha na maana yake ...Kwani yesu aliposema Hakuna mtu aliyemwona Mungu wala kusikia sauti yake ilikuwa hadithi tu?
AminaNina imani kuu na watu wa taifa hili, sina mashaka yoyote kwamba tutavuka salama kabisa.
Ipo nje ya hesabu kimahesabu,haitarajiwi kuwa hivyo mapema kiasi hicho!!December hii tutakuwa na kiongozi mpya wa kitaifa. Tunza huu ujumbe..
Hii nakubaliana nayo 100% mengine nmeshuhudia. Na sio yeye tu wote waliohusika kuanzia kutoa idea ya mauaji Hadi utekelezaji Hadi kufyatua risasi ..wote watalamba mchanga ..mnafikiri ajali zinatokea maaskari wanakufa ni kitu Cha kawaida? Hawa watu ni devil worshippers, kwanza kwa wao tu kuwepo kwenye uongozi tayari unaona Kuna laana juu ya nchi, ushoga, watoto wadogo wanauawa, lazima Mungu awasafishe woteKuna watu walifunga na kusali, kuna watu wameroga kwelikweli..... makombora yote hayo hawezi toka salama...
Sawa sha bookmark mieDecember hii tutakuwa na kiongozi mpya wa kitaifa. Tunza huu ujumbe..
Paschal huu uwanja wa kueleza mambo na kumsafisha mtu upo vizuri👏Duh...!
Hata Chinga, hakuwa Mtanzania pure na hakuzaliwa Tanzania!, ila mama yake ni Mtanzania na anatumia jina la ubini la kikeni, baba yake ni wa kule kwa jirani!, lakini alituongoza vizuri!!
Yule Blaza wangu, pia hakuzaliwa Tanzania, baba yake sio Mtanzania, Mama yake ndio Mtanzania, jirani akamtwaa akamvusha mpaka, akamzalisha watoto wawili, huko huko kwa jirani, akamzengua dada yetu, dada yetu kwa hasira, akasomba wanae wawili, akarejea nao Tanzania, na kurejea kwa wazazi wake. Akatokea mtu, akafika bei, akaposa, akaoa, hivyo akawaacha wanae kwa babu yao, yeye akaenda kwenye ndoa yake. Watoto wale pale kwa babu, hakuna kusoma, wa kike ni kazi za nyumbani, wa kiume ni kuchunga tuu mbuzi wa babu!.
Mama huku kwenye ndoa mpya, akaanza kuumia kwa jinsi watoto wake wale wawili wanavyoteseka kule kwa babu yao, hakuna cha kusoma wala nini!. Ndipo mumewe aka notice simanzi kwa mkewe, akamuuliza mke akafunguka, sio unajua tena kabila letu ndilo linaloongoza kwa kupenda, ukipenda boga, unapenda na ua lake!, mume akaridhia, ndipo watoto wakaenda kuchukuliwa kwa babu na kujiunga na familia mpya ya mama, yule wa kiume akaandikishwa shule kwa majina ya baba wa kufikia, akawa Mtanzania, akasoma hadi kuwa vile!, si ametusaidia sana ?!.
Haijalishi asili yako ni nani, wala baba yako halisi ni nani, as long as wewe ni Mtanzania, it doesnt matter!, huyu kweli ni Mpemba na ni Muislamu, akazaa na Mpemba na mtoto alizaliwa Muislamu, hana chogo!.. Mama yake akapendwa na huyo baba,, akabadili dini kuwa Mkristo, akaolewa huku, na huyo baba kwa kupenda boga na ua lake, mtoto akabadilishwa dini, na kubadilishwa jina, akawa Mkristo, as long as hivyo ndivyo anavyojulikana sasa, na safari hii ni zamu yetu, na jamaa ni Mkurasini, hatuna tatizo naye!.
Na iwe!.
P
Mtu anaekufa hua anafanywaje...Wabongo bana.
Akifa then wat?
Anajua kusali Rozari takatifu?na jamaa ni Mkurasini
Mwenge unazimwa na kijana Deogratius, jamaa zangu waliopo kwa wafipa wanasema hakuna dalili za Bi Msumi kutokea huko.mtamuona nyerere day tarehe 14 October akizima mwenge
Au KIBU? Bunduki ya kigaidi, Kipa aone Njozi inayotisha, Jehanamu hii hapa.Hii Maema bwana