Sote tunafahamu ya kwamba wameboresha mno kitengo cha propaganda hasa kwenye eneo la kutengeneza sinema zetu.. Japo hazina ubora lakini wanajitahidi Sana!
Hofu kuu ikitajwa kama 92OM...!
Je ni hofu?
Je ni woga?
Je ni wasiwasi?
Je ni jakamoyo?
Ya kwamba ninini kitatokea na hatima yake ni ipi?
Kitengo kiko kazini na hakuna kulala
Kama kuna watu wanakula mpaka wanavimbiwa na kusaza.. Kitengo kinafaa kuingizwa kwenye Guiness the book of records!
Masantula wamempeleka kwa malikia ili wamkaange vizuri.. Akirejea ngamani atajikuta keshaiva bila kujua alipikwa saa ngapi!
Hata kama ana gonjeka.. Lakini kupangwa kupo!. Hata ile ya akili mnemba ilitengenezwa makusudically
View attachment 3689539