Mpaji Mungu
JF-Expert Member
- Apr 24, 2023
- 17,404
- 56,052
Mkuu kua na huruma na hii afya yangu maana kama itakua kwel ntaweka special order TBL.December hii tutakuwa na kiongozi mpya wa kitaifa. Tunza huu ujumbe..
Mkuu kua na huruma na hii afya yangu maana kama itakua kwel ntaweka special order TBL.December hii tutakuwa na kiongozi mpya wa kitaifa. Tunza huu ujumbe..
Hili halina mjadala; tena inawezekana ikawahi kidogo kuliko huko ulikokupeleka wewe.'December hii tutakuwa na kiongozi mpya wa kitaifa. Tunza huu ujumbe..
Hakuna upuuzi wa namna hiyo tena hapa. Imetosha.Wakuu,
Mwaka 1973 Spiro Agnew alijiuzulu nafasi ya makamu wa Rais wa Marekani kufuatia skendo ya rushwa na matumizi mabaya ya ofisi ikiwemo kukwepa kodi alikofanya wakati ni governor wa Maryland. Rais Richard Nixon akamteua Gerald Ford kuchukua nafasi yake.
August ya mwaka 1974, Rais Richard Nixon alijiuzulu kufuatia skendo ya Watergate. Hapo ikabidi makamu wa Rais, bwana Gerald Ford aapishwe kuwa Rais wa Marekani.
Unaweza kuona jinsi Ford alivyokuwa na bahati. Hakuwahi kugombea umakamu wa Rais au Urais wenyewe lakini alishika vyeo vyote hivyo kwa nyakati tofauti zinazofuatana...
- Tumia akili
- kodi kugombea marekani rais
- Replies: 1,153
- Forum: Habari na Hoja mchanganyiko
Tatizo ni kwamba rais bado atakuwa mpemba, mana yule jamaa sio mtu wa Dodoma wala sio mkristo
Hawa waliopo sasa mnawatambua au ni viongozi haramu?December hii tutakuwa na kiongozi mpya wa kitaifa. Tunza huu ujumbe..
Kijana kwa namna unavyo comment JF mtu anaweza kukuchukulia very serious kumbe hakuna lolote unaloweza kufanya kuwaondoa hao wahuni.Hakuna upuuzi wa namna hiyo tena hapa. Imetosha
Isije ikawa ndoto za mtu aliyeumizwa alafu kesho tukaona mradi unafunguliwaHili halina mjadala; tena inawezekana ikawahi kidogo kuliko huko ulikokupeleka wewe.'
Hatuwezi kuendelea kuwa na upumbavu wa namna hii, tena kwenye nchi yenye heshima kama hii.
Mpuuzi kama wewe unataka nini!Huna unalojuwa ila kufugwa tu kama nguruwe na huyo unayedhani ni mubgu wako.Kijana kwa namna unavyo comment JF mtu anaweza kukuchukulia very serious kumbe hakuna lolote unaloweza kufanya kuwaondoa hao wahuni.
Hakuna cha kukata moto, ni kusafisha uchafu wote.Tatizo hata akikatamoto bado tatizo lipo pale pale maana makamu ni wale wale tu
Haya maneno sio mapya hapa JF.Mpuuzi kama wewe unataka nini!Huna unalojuwa ila kufugwa tu kama nguruwe na huyo unayedhani ni mubgu wako.
Subiri wakati wenu wa kulia na kusaga meno unakuja.
Na ikawe hivo.December hii tutakuwa na kiongozi mpya wa kitaifa. Tunza huu ujumbe..
Kuuza ngada , ufisadi mkubwa wa kuuza Nchi na silaha za magendo ni heshima.Hili halina mjadala; tena inawezekana ikawahi kidogo kuliko huko ulikokupeleka wewe.'
Hatuwezi kuendelea kuwa na upumbavu wa namna hii, tena kwenye nchi yenye heshima kama hii.
Nina imani kuu na watu wa taifa hili, sina mashaka yoyote kwamba tutavuka salama kabisa.Isije ikawa ndoto za mtu aliyeumizwa alafu kesho tukaona mradi unafunguliwa
Hao ndio unaowatambua wewe kuwa kuwa ndio "Tanzania"? Toka lini?Kuuza ngada , ufisadi mkubwa wa kuuza Nchi na silaha za magendo ni heshima.
Kuna muhuni anaitwa mudi boy ,tapeli ndiyo wanafuata muongozo wake , KWAMBA HUYO NZI WAMZAMISHE KABISA NA KUMCHOVYA CHOVYA KWA KUWA MUDI BOY KASEMA UBAWA MMOJA WA NZI UNA MAGONJWA NA UBAWA WA PILI NI DAWA ... adriz Malaria 2 JaginaSote tunafahamu ya kwamba wameboresha mno kitengo cha propaganda hasa kwenye eneo la kutengeneza sinema zetu.. Japo hazina ubora lakini wanajitahidi Sana!
Hofu kuu ikitajwa kama 92OM...!
Je ni hofu?
Je ni woga?
Je ni wasiwasi?
Je ni jakamoyo?
Ya kwamba ninini kitatokea na hatima yake ni ipi?
Kitengo kiko kazini na hakuna kulala
Kama kuna watu wanakula mpaka wanavimbiwa na kusaza.. Kitengo kinafaa kuingizwa kwenye Guiness the book of records!
Masantula wamempeleka wa malikia ili wamkaange vizuri.. Akirejea ngamani atajikuta keshaiva bila kujua alipikwa saa ngapi!
Hata kama ana gonjeka.. Lakini kupangwa kupo!. Hata ile ya akili mnemba ilitengenezwa makusudicallyView attachment 3689539