CHIEF PRIEST
JF-Expert Member
- Dec 13, 2021
- 21,596
- 42,564
Usikute ameshang'ata shuka,Mwenge unazimwa na kijana Deogratius, jamaa zangu waliopo kwa wafipa wanasema hakuna dalili za Bi Msumi kutokea huko.
Usikute ameshang'ata shuka,Mwenge unazimwa na kijana Deogratius, jamaa zangu waliopo kwa wafipa wanasema hakuna dalili za Bi Msumi kutokea huko.
Mimi nipo Katavi, ngoja leo jioni niende huko nikajionee mwenyewe.Doh,mie nilijua anaibukia huko kuzima hizi kelele
Kila mwanadamu atapitia hiyo hatua. Sio jambo la ajabu.Usikute ameshang'ata shuka,
Mabango yaliyokuwa yana picha za Bi msumi yameanza kuwekwa picha za Deo.Doh,mie nilijua anaibukia huko kuzima hizi kelele
Sijasema hakuna binadamu hatapitia hatua hiyo.Kila mwanadamu atapitia hiyo hatua. Sio jambo la ajabu.
Means ilikua awepo?Mabango yaliyokuwa yana picha za Bi msumi yameanza kuwekwa picha za Deo.
Nategemea Taarifa zako Mkuu uni tagMimi nipo Katavi, ngoja leo jioni niende huko nikajionee mwenyewe.
We are ready.....kwa sauti ya ShakiraDecember hii tutakuwa na kiongozi mpya wa kitaifa. Tunza huu ujumbe..
Wakati STEVE BARKER ANAFANYA SUB (CHAMA OUT>KALETSO IN ,Aisee niliguna ila kilichotokea niliduwaaaNa iwe kweli, tumechoka na off target, sahivi iwe on target na goal juu.
Aaaah
Pale usalama makumbusho askari wa usalama wa taifa wamejaa eneo lote along Bagamoyo rd!! Kuna kitu hakiko sawa. Tusubiri maana muda ni mwalimu mzuri.December hii tutakuwa na kiongozi mpya wa kitaifa. Tunza huu ujumbe..
Kinyonge sana.Sijasema hakuna binadamu hatapitia hatua hiyo.
Lord Denning ?Haya maneno sio mapya hapa JF.
Kuna yule mwenzako alikuwa anajiita Lord Manini sijui. Alikuwa na kauli za kiboya kama zako lakini mwisho wa siku kayeyuka kama alivyoondoshwa Nchimbi madarakani.
Tunakwenda kutawaliwa na Ndejembi wallahi. Hii katiba hii mhhh!December hii tutakuwa na kiongozi mpya wa kitaifa. Tunza huu ujumbe..
Kwa ratiba iliyokuwepo mwanzoni ni hivyo.Means ilikua awepo?
Leo wafipa wapo na Mwigu.Nategemea Taarifa zako Mkuu uni tag
Ndio uzuri wa Katiba yetu 😀😀😀😀Tunakwenda kutawaliwa na Ndejembi wallahi. Hii katiba hii mhhh!
Haha,Damu zilizomwagwa 29.10.2025 bado zinaendelea ku-search, ila likifungwa goli kama la Mpanzu nitashindwa kuficha furaha yangu kama kunikamata wanikamate tu lakini nitafanya sherehe kubwa.