Amejificha au wamemficha?

Amejificha au wamemficha?

Mshana Jr

Platinum Member
Joined
Aug 19, 2012
Posts
375,621
Reaction score
870,297
Sote tunafahamu ya kwamba wameboresha mno kitengo cha propaganda hasa kwenye eneo la kutengeneza sinema zetu.. Japo hazina ubora lakini wanajitahidi Sana!
Hofu kuu ikitajwa kama 92OM...!

Je ni hofu?
Je ni woga?
Je ni wasiwasi?
Je ni jakamoyo?

Ya kwamba ninini kitatokea na hatima yake ni ipi?
Kitengo kiko kazini na hakuna kulala
Kama kuna watu wanakula mpaka wanavimbiwa na kusaza.. Kitengo kinafaa kuingizwa kwenye Guiness the book of records!

Masantula wamempeleka kwa malikia ili wamkaange vizuri.. Akirejea ngamani atajikuta keshaiva bila kujua alipikwa saa ngapi!

Hata kama ana gonjeka.. Lakini kupangwa kupo!. Hata ile ya akili mnemba ilitengenezwa makusudically
69f2375f-5c56-42c4-91ff-099b5e20b4bc.jpeg
 
Tatizo ni kwamba rais bado atakuwa mpemba, mana yule jamaa sio mtu wa Dodoma wala sio mkristo
 
Sote tunafahamu ya kwamba wameboresha mno kitengo cha propaganda hasa kwenye eneo la kutengeneza sinema zetu.. Japo hazina ubora lakini wanajitahidi Sana!
Hofu kuu ikitajwa kama 92OM...!

Je ni hofu?
Je ni woga?
Je ni wasiwasi?
Je ni jakamoyo?

Ya kwamba ninini kitatokea na hatima yake ni ipi?
Kitengo kiko kazini na hakuna kulala
Kama kuna watu wanakula mpaka wanavimbiwa na kusaza.. Kitengo kinafaa kuingizwa kwenye Guiness the book of records!

Masantula wamempeleka wa malikia ili wamkaange vizuri.. Akirejea ngamani atajikuta keshaiva bila kujua alipikwa saa ngapi!

Hata kama ana gonjeka.. Lakini kupangwa kupo!. Hata ile ya akili mnemba ilitengenezwa makusudicallyView attachment 3689539
Wanataka kututoa kwenye mfumo , jezi za * imebuma,leo mara jeywi ni mali yao,mara spichi ya kabdi,mara kumix wizara ,mara simba,mara misgrandmalta ,......... pole ya ajali imeonekana itafufua makabur ..bado
 
Back
Top Bottom