Mchungaji wako keshafika mbinguni pale juu ya mtiKama kuna mtafiti kapoteza muda wake kutafiti huo ushuzi wa mudi boy na Allah wake..basi huyo mtafiti lazima atakuwa na geto milembe.
Hadithi njoo uongo njoo utamu kolea.....
Mudi boy na Allah...jua uzama kwenye tope zito..
Mudi boy na Allah...dunia ni tambarale
Yah nimeelewa.... mwanzo nilijua ni NENO LA MUNGU..kumbe ni hadithi tu ...hadithi unaweza kusema hata kinyesi cha binadamu ni dawa ya HIV hakuna shida ...hapo nimekusoma.Labda umeelewa
Hadi wewe mzee wa logic umeingizwa king, na umeingia!Hakuna upuuzi wa namna hiyo tena hapa. Imetosha.
Safari hii ni kusafisha uchafu wote; hakuna kitakachobaki. Hata mizoga inayooza mitaani kama akina Tlaatlaah, hutaiona tena mahali popote.
Kwani yesu aliposema Hakuna mtu aliyemwona Mungu wala kusikia sauti yake ilikuwa hadithi tu?Yah nimeelewa.... mwanzo nilijua ni NENO LA MUNGU..kumbe ni hadithi tu ...hadithi unaweza kusema hata kinyesi cha binadamu ni dawa ya HIV hakuna shida ...hapo nimekusoma.
Mkutano wa IPUJinsi anvyopenda kujisafisha kimataifa , lakini hakutokea kwenye mkutano wa Wabunge Wa kimataifa kule arusha... inafikirisha sana..
Atakuwa na kichogo auDecember hii tutakuwa na kiongozi mpya wa kitaifa. Tunza huu ujumbe..
Hiyo siyo hadithi ilo ni NENO LA MUNGU ....MAANA YAKE UNAIJUA YA HAYO MANENO ? HAPO YESU ANAJIFUNUA MBELE ZA UMA WAKE KUWA SASA YEYE NDIYE MUNGU WAMWONAYE KWA JINSI YA MWILI NA KUISIKIA SAUTI YAKE KWA KUWA ANASEMA NAO .Kwani yesu aliposema Hakuna mtu aliyemwona Mungu wala kusikia sauti yake ilikuwa hadithi tu?
Hiyo siyo hadithi ilo ni NENO LA MUNGU ....MAANA YAKE UNAIJUA YA HAYO MANENO ? HAPO YESU ANAJIFUNUA MBELE ZA UMA WAKE KUWA SASA YEYE NDIYE MUNGU WAMWONAYE KWA JINSI YA MWILI NA KUISIKIA SAUTI YAKE KWA KUWA ANASEMA NAO .
Nimekuuliza jua uzama kwenye tope zito?Na Hao alikuwa akiwaambia walikuwa vipofu na viziwi Kama wewe?
Usikimbie swaliNimekuuliza jua uzsma kwenye tope zito?
Kama eliiii kibisa! 🤣🤣🤣🤣Na iwe kweli, tumechoka na off target, sahivi iwe on target na goal juu.
Aaaah
Nimekuuliza jua uzsma kwenye tope zito?