Amechoka kutendwa anahitaji mume

Amechoka kutendwa anahitaji mume

Naitwa Annie,23,mnene,maji ya kunde,si mrefu wala mfupi sana,elimu
yangu kdato cha 6,mkristo-lutheran.Natafuta mchumba umri 27-35 ambaye
yuko serious na maisha,awe mrefu,sio mwembamba sana,sichagui dini wala
kabila,awe mwelewa,anaeshaurika,asivute sigara,pia awe tayari
kuniendeleza kielimu ili 2weze kusaidiana ktk maisha.
NB:Aliye serious tu ndo anitafute kwan nimechoka KUTENDWA NA
WABABAISHAJI WA MAPENZI,nahtaji mume.
Mawasiliano:0655054760 au 0752054760.

Mtoa mada hebu muulize huyu bibie hapendi wavuta sigara tu au hata wanaokunywa pombe?

Halafu anaposema, awe tayari kuniendeleza kielimu, anammisha nini? Anatafuta sponsor au mume wa kweli?
 
Wee angekuwa hataki mnywaji... Hii thread ingekosa michango ya maana... maana Mimi,Masa,Chrispin wewe Masaki ni watu wa DUBAAAAIIII...
 
Hawa wadada wanapenda kale kamchezo.....huyu bata ananyama laini kabisa na ina mafuta!

07.JPG
 
your thing huh!!
migongo ya samaki........ndo maana nilimwambia Pape akuone kwa ufafanuzi wa 'kitaaluma'
 
Piga shule mbona bado mdogo 23?mie nimeoa wakati na miaka kinyume chako yaani 32, nenda shule la sivyo UTATENDWA SANA TU

N-Handsome
huyu binti ana miaka 23 anataka MUME lakini pia mume amsaidie kumwendeleza kielimu.

Kwa hiyo mzee unawowa halafu unamsomesha!
Kama unavyoona kachoka kutendwa at that age... watu wanadanganya wanataka kusomesha halafu wanakula tu bila kunawa...
 
Naitwa Annie,23,mnene,maji ya kunde,si mrefu wala mfupi sana,elimu
yangu kdato cha 6,mkristo-lutheran.Natafuta mchumba
...nahtaji mume.
Mawasiliano:0655054760 au 0752054760.

...kwanza naomba kuuliza,
"Lisa" ndiye wewe Annie mwenye hizo namba za simu hapo juu?
 
Hawa wadada wanapenda kale kamchezo.....huyu bata ananyama laini kabisa na ina mafuta!

07.JPG

...😱 khaaaaaaaaa! Mdada mwenye nguo nyeusi, mwenye kikuku mguuni, na 'kufuli' ya madoa doa...pia na pete ya ndoa mkononi...,aaarrggghhh?
 
dah wee kweli mbu..............
 
Hawa wadada wanapenda kale kamchezo.....huyu bata ananyama laini kabisa na ina mafuta!

07.JPG

Duuh si ndio tulikuwa HARAMBEE PLAZA pale Kaunda/A.H.Mwinyi Rd. Duh Masanilo umeitoa wapi hii... Mmmmh I cant u... Ulikuwa wimbo wa Mtarimbo ulolala dorrrrrrroooo....
 
...😱 khaaaaaaaaa! Mdada mwenye nguo nyeusi, mwenye kikuku mguuni, na 'kufuli' ya madoa doa...pia na pete ya ndoa mkononi...,aaarrggghhh?

Kufuli ya madoa madoa iko wapi hapo? Angalieni jamani msije kuvunja ndoa za watu, usikute mumewe memba wa JF!!! 🙂
 
si ile pale ukiangalia vizuri inaonekana vizuri tu
 
...😱 khaaaaaaaaa! Mdada mwenye nguo nyeusi, mwenye kikuku mguuni, na 'kufuli' ya madoa doa...pia na pete ya ndoa mkononi...,aaarrggghhh?

Yeah amevaa G string yenye madoa doa !! walau huyo ....dada mwenye suluAli na Tshirt hana hata chu.pi anasikilizia utamu tu hahahahahahah
 
1.jpg

Jamani jamani huyo mtoto anataka nn hapo kwa Fataki.
 
Yeah amevaa G string yenye madoa doa !! walau huyo ....dada mwenye sululi na Tshirt hana hata chu.pi anasikilizia utamu tu hahahahahahah

mmh na wewe sasa usitudanganye hiyo G-string umeionaje ina madoa doa???
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom