Amechoka kutendwa anahitaji mume

Amechoka kutendwa anahitaji mume

matatizo ni kipimo cha akili lakini yakizidi ni mwanzo wa kokoka. nenda kanisani kamwombe Mugu labda atakuletea huyo ambaye hatakutenda.
 
ukinipitia ntakupenda zaidi ya ninavyokupenda sasa...
nimechoka kama mbwa asiye na kwao mpenzi plzzzzzzzzzzzzzzzzzzzzzzzzzzzzzzzz

Hahaha! Nilifikiri upendo wako kwangu ulishafika maximum. Kama hapo bado, hilo pendo sipati picha........ Usinipende zaidi ya hapo, ntavimba bichwa!
 
Hahaha! Nilifikiri upendo wako kwangu ulishafika maximum. Kama hapo bado, hilo pendo sipati picha........ Usinipende zaidi ya hapo, ntavimba bichwa!

hahaaa mpaka kipasuke........twende basi my dear sugar banana....
 
hahaaa mpaka kipasuke........twende basi my dear sugar banana....

Hahaha! Hapa leo wamenipiga pingu za Jery Muro! Sijui kama valeur zitapata muda wa kunywewa leo! LOL!
 
Hahaha! Hapa leo wamenipiga pingu za Jery Muro! Sijui kama valeur zitapata muda wa kunywewa leo! LOL!

kwa hiyo umenipandisha stimu bure siyo.....malabuku!!!
i will be out whenu are done sawa??
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom