Masanilo
Platinum Member
- Oct 2, 2007
- 22,283
- 4,553
hivi kaka hizo nyama zina mafuta eeh?
Laini na mafuta kwa mbali....lean meat!
hivi kaka hizo nyama zina mafuta eeh?
zinapatikana butcher gani namimi nijisevie?Laini na mafuta kwa mbali....lean meat!
zinapatikana butcher gani namimi nijisevie?
Lol, naogopa 'samaki'Njoo Zenj halafu niPM
jamani acha kuniumiza mbavu zangu mie, umeuliza halafu unaogopa?Lol, naogopa 'samaki'
shem mbona atuambizani kama ww na xpin mambo fulani
Mamushka bht huyu binadamu ushamweleza mahusiano yetu? Au nimweleze mwenyewe?
kweli, naogopa! nasikia samaki wanang'ata! hasa 'kibua'jamani acha kuniumiza mbavu zangu mie, umeuliza halafu unaogopa?
Mamushka bht huyu binadamu ushamweleza mahusiano yetu? Au nimweleze mwenyewe?
yepi hayo??teh teh teh teh teh yale yale...
weeeee mie tena tangu lini??Sijakusoma ina maana unataka nipatia nyama ya mgogo wa bata?
Naitwa Annie,23,mnene,maji ya kunde,si mrefu wala mfupi sana,elimu
yangu kdato cha 6,mkristo-lutheran.Natafuta mchumba umri 27-35 ambaye
yuko serious na maisha,awe mrefu,sio mwembamba sana,sichagui dini wala
kabila,awe mwelewa,anaeshaurika,asivute sigara,pia awe tayari
kuniendeleza kielimu ili 2weze kusaidiana ktk maisha.
NB:Aliye serious tu ndo anitafute kwan nimechoka KUTENDWA NA
WABABAISHAJI WA MAPENZI,nahtaji mume.
Mawasiliano:0655054760 au 0752054760.
Maisha ni kupanga na kupanga ni kuchaguaTatizo anaposema hachagui dini sina uhakika nalo kwani tujuavyo sisi waluther ndoa njema ni lazima iwe ya dini moja kama mkristo kwa mkristo au islam kwa islam na pagan kwa pagan.Tunataka kulea watoto katika maadili ya pande zote kwa baba na mama sasa wakiwa dini tofauti inakuwa mtihani mkubwa kwa watoto.
Jamani tusikatishane tamaa dada, maisha ni lazima yaendelee na watakao yaendeleza sio wengine bali ni sisi wenyewe.Mmh hapa JF wachumba wapo kweli 🙂
aliyekuwa amebaki kaoa juzi juzi Geoff ,,Fidel anasomea upadiri .
all ze best mdada !
Mkuu Masanilo uko wapi??? Mambo hayoooo...
nimemumunya nini huyu nimemweleza dhahiri wewe ni kaka yangu mkubwa sasa sijui mtanigombea kuwa mdogo wenu au vipi hebu muulize!!!
Mkuu Masanilo nilikuulizia mapema kabla kina Chrispin na Pape hawajaamka... ona sasa wapo naye ukipiga hizo namba wanapokea wao... Maana nimepiga akapokea dume nnahisi atakuwa mtemi kama Kaka zake Raptusia katika Movie ya NORBIT!!!!

Bwana ni hangover hizi.....anyway ngoja mimi nimsomeshe bht......
Bwana ni hangover hizi.....anyway ngoja mimi nimsomeshe bht......
Zenji lazima uamke na HANG-OVER! Bia za moto,Bata Moto,Usiku joto... Mchana joto... Pole sana Masanilo sasa Bht akija utampeleka Zamani Kempinski au Serena maana stima kule 24/7???....
Du!Naitwa Annie,23,mnene,maji ya kunde,si mrefu wala mfupi sana,elimu