Ambao tumezunguka Tanzania yote!

Ambao tumezunguka Tanzania yote!

Semeni kote lakini mie ujiji tu basi.hakuna walevi,hakuhamiwi ovyo ovyo.
Changamoto zake ni zile kelele za wanadi swala tu.[emoji41][emoji41]hata makanisa ya kelele hakuna.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Nimezunguka mikoa karibu yote kasoro Kigoma na Zanzibar....
Kwangu mbeya na mwanza palinivutia....
Mji.unaokua taratibu ni sumbawanga, tanga na ruvuma....
Mkoa wenye barabara hatari ni ruvuma kuanzia kuingia mpk ukanyage mbamba bay mpaka tunduru ni kona za hatari....
Hivi mpanda itakumbukwa lini?

Sent using Jamii Forums mobile app
Mpanda panatia simanzi,kila nikipata trip ya kwenda Katavi naifikiria sana barabara ya Tabora to Mpanda.

Never say never
 
Mpanda panatia simanzi,kila nikipata trip ya kwenda Katavi naifikiria sana barabara ya Tabora to Mpanda.

Never say never
Hii hapa, Nimepita kote hukoo
IMG_20161022_090912.jpeg

You are strong than what you think...
 
HAPO Kagera ni wilaya zote kuanzia
Ngara,Muleba,biharamulo,Bk Rural and Urban na hata karagwe maaeno ya Nyakahanga,Mulushaka etc pote nilichafua.
Enzi nasaka Kahawa na ndizi nazisafirisha ki Magendo..
Nilikuwa sipendi ile pombe yao ya Ndizi.

Tukija Njombe Kule town maeneo ya kuazia Ramadhani,hagafilo,Chaugingi,Kibena,Uzunguni,Tanwat pote Nilikanyaga WAKATI tunasaka madalali wa mashamba ya mbao.
kule lupembe Na matembwe karibu na Shule ya manyunyu niliruka Sana na pipoz za Kule daah Enzi tunaenda lupembe kusaka maparachichi na kuyasafirisha nje.
Tumelangua Sana mpaka tukapata mashamba ya maparachichi kule.

Kufika maeneo ya makambako tulikuwa tunafanya udalali,na kuuza vitu coz makambako ilikuwa Ni centre ya wafanyabiashara karibu wa kusini.

Tukija Iringa daah.
Sitopasahau kule pagawa na maeneo ya mtandika lukosi,
maisha ya kulima vitunguu yalikuwa magumu na full ushirikina.

hapo Morogoro,Dar,Tanga na Pwani sisemi maana naendaga ZAIDI navyokwenda msalani.

Tour Ambayo Nili enjoy Ni ile niliyozunguka mikoa ya Kusini
Kule pesa Ngumu lakini people's za Kule bado hazijajanjaruka ilikuwa Ni full kuwalaghai.

mkoa wa Kigoma sikuupendelea Sana
coz ya wingi wa wakimbizi na muingiliano wa warundi,wacongo na waha
hahahaha utaomba pooo

Wewe mleta maada umezunguka mikoa less than 5 .Kati ya mikoa 30?!

bado SANAA

Kwa Sasa naisaka njia ya Tunduma kutokea Momba

Sent using Jamii Forums mobile app
Kayanga, Omurusimbi, Nyakaiga, Ahakishaka, Nkwenda, Kituntu Mabira, Kijumbura mpaka Chamchuzi...duuh imenikumbusha mbali sana niliwahi pita sana karibu tarafa zote za Karagwe kasoro Kaisho/Murongo ambayo ni wilaya mpya kwa sasa

Njombe nimetia timu pale mjini nikashika njia ya kwenda Songea mpaka Njiapanda ya kwenda Ludewa maeneo ya Uwemba, nikarudi huku Kibena unaingia vijiji vya Image kama unaelekea Lupembe

Iringa pale town nimevuruga sana mpaka maeneo ya Mtandika mbele kidogo ya Mtandika unaingia sehemu panaitwa Nyanzwi kuna kabila la wagogo utasema sio mkoa wa Iringa. Kisha nikaingia Mafinga kwa kuingia maeneo ya Usokami, Kibengu, mpaka Mapanda imepakana na Morogoro kuna sehemu panaitwa Chita kisha nikarudi tena Kibengu, Mwatasi (hapa Kilolo tayari), Kidabaga, Ndiwiri mpaka Iringa mjini
 
Wapi wazee wa minara....Tz nzima na vijiji vyake vipo kichwani

Mwanza...nasa,nyambiti,itabagumba,hungumalwa

Bukoba...kaisho,buganguzi,shamba-rubya,maruku,mishenye

Musoma...nyakato,majimoto,kisumwa,kyabakari,natta,buhemba

Shinyanga...ngokolo,segese,ulowa,bugomba,mwadui,old shy

Tabora....chemchem,ulyankulu,yelayela,kwazuberi,nguruka,emule,usinge,km 60

Singida....unyankindi,sepuka,ndago,isuna,msenembo,london,ikungi,mvae,ilongero

Dodoma...area c,chalinze nyama,kongwa,chenene,msambeta,mounguzi,msalato

Iringa...mafinga,makambako

Mbeya....block T,mafiati,ileje,

Rukwa
Songea

Tanga...mikanjuni,barabara 6,nguvumali,kibirashi,mashewa,tongwe,kwedikwazu,kwedizinga,kwediboma

Mtwara.....shangani,mikindani,nalyendele,lukuledi,jidah,masasi mbovu,nkunya,nanyamba

Lindi...kilwa,kipatimu,nangulukulu,mbekenyera,

Hapo ni kwauchche
 
Iringa na Mbeya pamekutoa knocks off

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Wewe jamaa una akili sana. Umelitambua hilo, mimi pia nilipomsoma nilijua hilo

Kingine pia anapenda wamama wenye shepu.
Makalio makubwa halafu wafupi haaa haaaa haaa
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom