HIMARS
JF-Expert Member
- Jan 23, 2012
- 73,318
- 103,580
Nataka nizunguke Wilaya zote Tanzania angalau kila wilaya nilale kwa siku 2
Sent using Jamii Forums mobile app
Sent using Jamii Forums mobile app
B'er [emoji106]Omera Yawa to nang'o?
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji16]Nilivofika Ruangwa kwenye Jimbo la kiongozi mkuu niliona aibu maana hata radio hazikamati.
Duniani kuna maajabu hili nalo niliona ni ajabu la kumi la dunia
Sent using Jamii Forums mobile app
Best research [emoji122][emoji122]...Chunya kuna migodi kule, hela ipo lakini watu wana roho kama alshabab mda wote ukisafiri hasa maeneo ya Kambikatoto unahitaji agana na moyo.
Sikonge watoto wazuri wapo lakini maendeleo ya kubangaiza sana, maisha magumu.
Kishapu kipindi cha pamba usiombe hela ipo nje nje.
Mahenge watu washamba hawana ari ya kutafuta, wameridhika na umasikini wao.
Ifakara ukimwi kama saccos, eneo hatari kwa wauza mechi.
Mang'ula kamji kadogo mambo makubwa.
Kalenga kilimo kipo na ardhi nzuri, mazingira sio rafiki kuwekeza.
Mafinga usipojiandaa utaitwa baba hata mara 20!.
Kahama migodini, wasukuma tuna hela bana asikwambie mtu, ila waoga kujaribu biashara zenye risk kubwa tunaishi kimazoea.
Kondoa wavivu tegemea nguvu kazi kwenda nayo.
Vigwaza kilimo kinastawi vizuri, wenyeji wanahitaji uangalizi sana.
Mkuranga still researching..
(best place TUNDUMA)...
Abilo ng'onyi makwarukwaru.Omera abilogoyi.!
MGC
Mh! matumizi mabaya ya ule mmea mtakatifu.Umewahi kuzungukia makaburini? Kuna utulivu wa kipekee. Popote Tanzania na duniani.
Wach ma kono.B'er [emoji106]
Wa'yuso....[emoji12] [emoji12]Wach ma kono.
Kare i jaluo emomiyo in gi fhuok e pichanino? [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Wa'yuso....[emoji12] [emoji12]
Adhuro kod fu'ok...tehteehh [emoji12] [emoji12]Kare i jaluo emomiyo in gi fhuok e pichanino? [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] Weche tek ainya.Adhuro kod fu'ok...tehteehh [emoji12] [emoji12]
[emoji125] [emoji125] [emoji125]
Piny be'ndosiko to'ok sik'e.....[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23][emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] Weche tek ainya.
[emoji23]Piny be'ndosiko to'ok sik'e.....[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
HALAFU WEWE ACHA UJINGA WEWE!!