Kimekuuma...lione seneta my ass[emoji16][emoji16][emoji28]HALAFU WEWE ACHA UJINGA WEWE!!
KILA SEHEMU WASIFIA TU HADI MAENEO YA HOVYO!!!
BICHWA HILO!!!
"ILA MAISHA LAZIMA YAENDELEE."
Eatu wa bukoba huwa wanadharau wageni.niliona kwa mda mchache nilipokiwa pale.
Sent using Jamii Forums mobile app
HAPO Kagera ni wilaya zote kuanzia
Ngara,Muleba,biharamulo,Bk Rural and Urban na hata karagwe maaeno ya Nyakahanga,Mulushaka etc pote nilichafua.
Enzi nasaka Kahawa na ndizi nazisafirisha ki Magendo..
Nilikuwa sipendi ile pombe yao ya Ndizi.
Tukija Njombe Kule town maeneo ya kuazia Ramadhani,hagafilo,Chaugingi,Kibena,Uzunguni,Tanwat pote Nilikanyaga WAKATI tunasaka madalali wa mashamba ya mbao.
kule lupembe Na matembwe karibu na Shule ya manyunyu niliruka Sana na pipoz za Kule daah Enzi tunaenda lupembe kusaka maparachichi na kuyasafirisha nje.
Tumelangua Sana mpaka tukapata mashamba ya maparachichi kule.
Kufika maeneo ya makambako tulikuwa tunafanya udalali,na kuuza vitu coz makambako ilikuwa Ni centre ya wafanyabiashara karibu wa kusini.
Tukija Iringa daah.
Sitopasahau kule pagawa na maeneo ya mtandika lukosi,
maisha ya kulima vitunguu yalikuwa magumu na full ushirikina.
veya kamwene! dzafighono. karibu tena njombe!
Ukiona hivyo ujue unapenda sana...Pamoja na maeneo yote niliyopita hapa Bongo, mji mdogo wa MUGUMU- SERENGETI nimepakubali sana.
Sent from my TECNO LA6 using JamiiForums mobile app
Telecommunication engineering au?Wapi wazee wa minara....Tz nzima na vijiji vyake vipo kichwani
Mwanza...nasa,nyambiti,itabagumba,hungumalwa
Bukoba...kaisho,buganguzi,shamba-rubya,maruku,mishenye
Musoma...nyakato,majimoto,kisumwa,kyabakari,natta,buhemba
Shinyanga...ngokolo,segese,ulowa,bugomba,mwadui,old shy
Tabora....chemchem,ulyankulu,yelayela,kwazuberi,nguruka,emule,usinge,km 60
Singida....unyankindi,sepuka,ndago,isuna,msenembo,london,ikungi,mvae,ilongero
Dodoma...area c,chalinze nyama,kongwa,chenene,msambeta,mounguzi,msalato
Iringa...mafinga,makambako
Mbeya....block T,mafiati,ileje,
Rukwa
Songea
Tanga...mikanjuni,barabara 6,nguvumali,kibirashi,mashewa,tongwe,kwedikwazu,kwedizinga,kwediboma
Mtwara.....shangani,mikindani,nalyendele,lukuledi,jidah,masasi mbovu,nkunya,nanyamba
Lindi...kilwa,kipatimu,nangulukulu,mbekenyera,
Hapo ni kwauchche
Mgumu nimeishi aisee maji ya shida( ya chumvi kwa sana) na barabara bado haijaunganishwa na musoma mjini wala tarime kwa lami, ila vyakula ni bei rahisiPamoja na maeneo yote niliyopita hapa Bongo, mji mdogo wa MUGUMU- SERENGETI nimepakubali sana.
Sent from my TECNO LA6 using JamiiForums mobile app
Ombea upate zali la kukimbiza mwenge utazunguka bara na visiwani, kila wilaya kila kijiji, kila mradi.Nataka nizunguke Wilaya zote Tanzania angalau kila wilaya nilale kwa siku 2
Sent using Jamii Forums mobile app
Karibu Kamachumu, wilaya ya Muleba Mkoa wa KageraMku Tony ww ulienda mwaka gani na bei ilikuwaje kipindi hicho.
Natafuta Mkoa wa kuzeekea ili niweze kuacha misingi mizuri ktk kizazi changu.
Asante Mku
Sent using Jamii Forums mobile app
Kilindi nimefika aiseeee, mbuzi wengi Sana mnakula mbuzi hadi mnakinaiWe jamaa umefika kule Kilindi? Daa nilifika huko mwaka 2008 kulikuwa chaka ila fursa zipo!
Sent using Jamii Forums mobile app
Kwa sasa Lushoto ardhi imekua haba Sana, Lushoto kumekua ni makazi zaidi na asije akakudanganya mtu! Sijui Pengine Lushoto vijijini but Sidhani kama ni rahisi Sana kupata ardhi kubwa!
mmegundua fursa gani mkuu??Kama wewe.ni mwanaharakati wa maisha huwezi kuwaza ngono au wanawake wazuri.
Wanawake wazuri ulikuwa unawapata baada ya kumaliza harakati na kuvuna mawe then unaenda home au kambi yako kujipumzisha
HAKUNA Raha kama kuwa mwanaharakati smart and G.Man.
Tulikuwa team ya vijana Kama 5 ambao tulitoka dsm na tulijuana kupitia humu Jf na WhatsApp Group.
Lengo ilikuwa kusaka Fursa kwa udi na uvumba mikoa yote ya Tz
Kwenye Team yetu wawili walikuwa wazee wa starehe na mijimama wao walikuwa full kuchafua.
Walikuwa wanatupa shida kwenye baadhi ya vijiji coz ya ushirikina waliokuwa wanafanyiwa kwa Mambo yao.
Lakini pia walikuwa Wana TU cost Sana.
tunaweza fikia town tukapanga SAA 10 alfajiri tuanze safari ya kwenda maporini
Sasa wao walikuwa wanafikia pombe na starehe akirudi SAA 8 usiku yupo na Pombe Kichwani ukimuamsha morning hapo utakuwa mzozo.
walikuwa wanaturudisha Nyuma Sanaa.
Sisi wengine tulikuwa tuna spend na wazee, ndugu na mpenzi as wife material
hapo pesa,ilikuwa inaonekana bila shida.
daah Tz Kuna Fursa Sana kuliko sehemu yeyote ile duniani
Shida vijana wengi Wamelala.
Sent using Jamii Forums mobile app
Nyingi Sana,kila kitu inategemea na nyinyi au mtu anataka Nini kwa wakati huo.
Unadhani fursa gani mtoto wa kike km Mimi naweza fanya?Nyingi Sana,kila kitu inategemea na nyinyi au mtu anataka Nini kwa wakati huo.
sisi tulijichanga pesa Hadi 2.5 million coz tulikuwa 5 kila mmoja alichanga almost laki tano.
tukaingia chimbo na kuanza kufanya harakati..
lakini Kama ukipata Fursa ya kwenda vijijini au mikoani huko,Kuna mengi sana ya KUFANYA
kuhusu Fursa inategemea na wewe mwenyewe
Sent using Jamii Forums mobile app
Kwa mkoa Gani labda?Unadhani fursa gani mtoto wa kike km Mimi naweza fanya?
Najua mmefanya utafiti,,,najua umeziona tayari
Sent using Jamii Forums mobile app