Chunya kuna migodi kule, hela ipo lakini watu wana roho kama alshabab mda wote ukisafiri hasa maeneo ya Kambikatoto unahitaji agana na moyo.
Sikonge watoto wazuri wapo lakini maendeleo ya kubangaiza sana, maisha magumu.
Kishapu kipindi cha pamba usiombe hela ipo nje nje.
Mahenge watu washamba hawana ari ya kutafuta, wameridhika na umasikini wao.
Ifakara ukimwi kama saccos, eneo hatari kwa wauza mechi.
Mang'ula kamji kadogo mambo makubwa.
Kalenga kilimo kipo na ardhi nzuri, mazingira sio rafiki kuwekeza.
Mafinga usipojiandaa utaitwa baba hata mara 20!.
Kahama migodini, wasukuma tuna hela bana asikwambie mtu, ila waoga kujaribu biashara zenye risk kubwa tunaishi kimazoea.
Kondoa wavivu tegemea nguvu kazi kwenda nayo.
Vigwaza kilimo kinastawi vizuri, wenyeji wanahitaji uangalizi sana.
Mkuranga still researching..
(best place TUNDUMA)...