Pascal Mayalla
Platinum Member
- Sep 22, 2008
- 50,513
- 113,642
- Thread starter
- #221
Mkuu Nowonmai, asante sana kwa post hii na amimi usiamini, imenifundisha kitu kuhusu concept ya “Reversibility” yaani kama kisababishi(causative factor) na underlying issues (hbp, diabetes, HIV, heart diseases etc).Heshima yako mkuu Pascal.
Kwenye magonjwa ya kuambukiza kama ilivyo Covid 19 kuna concept iitwayo “Reversibility” yaani kama kisababishi(causative factor) ikiondolewa, athari zake pia zinapotea.
Sababu hapa ni hako ‘ka corona na athari ni kifo. Hivyo sidhani ni sahihi sana kukihafifisha hiki kirusi kwa misingi ya kuwa ‘kamesindikiza tu’.
Kama hizo underlying issues zilikuwepo na bado mhanga alikuwa anadunda, alafu akaingia korona na kuziamsha hizo nyingine mpaka mgonjwa kupoteza uhai basi huyu corona ndio wakala wa mwisho wa Ziraili ambaye tunatakiwa kushughulika naye.
Kumbuka kwamba hizo underlying issues(hbp, diabetes, HIV, heart diseases etc) tayari zina utaratibu wake wa kitabibu wa kupambana nazo.
Kabla ya kuisoma hiyo concept yako, mimi nilihesabu kuwa hao wote wenye underlying issues, walikuwa ni marehemu watarajiwa, wanaosubiri tuu kufa, ila hawakujua watakufa lini, hivyo Corona imewawahisha tuu, lakini hata bila Corona ilikuwa wafe tuu!, lakini ni kupitia kwako ndio nimejifunza kuwa pamoja na kuwa na underlying issues za hbp, diabetes, HIV, heart diseases etc, sio death threatening diseases, hivyo bila Corona, wangeishi muda mrefu hivyo Corona ndio the causative agent wa premature deaths zao.
Thanks.
P