Am so much in love with excellent

Am so much in love with excellent

Lol what if is not a he
do u know him physcaly
unawezakuta ur in
love na jike jenzio
kuna mwenzio humu
alilihonga dume lenzie
laki 2
 
Lol what if is not a he
do u know him physcaly
unawezakuta ur in
love na jike jenzio
kuna mwenzio humu
alilihonga dume lenzie
laki 2

hehe naombea yasinikute hayo jamani duh hiyo kali nani huyo yalimsibu?
 
kaza pumzi mpaka akubaliane na ww...............ukishindwa ni pm nikupe matrik.com
 
hehehe aminata sikati tamaa hapa halafu naona kama keshaanza kuingia line kimtindo,dah ila naitaka hiyo ya matrik.com wee nipm kama vipi
 
na imani hajaoa bado na nina imani pia ndio chaguo Mungu alilonipangia

Chaguo la Mungu au la macho yako? Ndio mnaishiaga kudundwa vibuti mnaanza kutujazia mada hapa za kuomba ushauri, hivi mtu mwenye akili timamu unaweza kumpenda mtu ambaye humjui? Sema unamtamani nitakuelewa. Tena ulivyo msanii unataka kabisa awe husband as if unajua kipande cha tabia zake. Angalia mama na umri wako, mapenzi hayatafutwi kwenye magazeti oohoo! Bora umpende 'washa washa' ni mwaminifu kiasi hata chupi za jirani zake wa kike zikianguka anazisuuza, kuliko hili balaa unalojitafutia kwa kuangalia picha. Ni wazo tu, una ruksa ya kuendelea kuleta usanii
 
Khaa!!! Una utani na washawasha? Hahahaaa, alafu utapeperusha ndege wa ekselenti wajameni.......mweeh!
 
Kipipi yaani sitaki hata aisome hii coment mana atabadilisha msimamo
 
Eti wajameni, mi naomba tu ifunikwe na wino mweusi yaani!! Heheh alafu bwana mdogo changamka basi ufanye makeke, ni siku nyingi sijagusa mnuso wa harusini ujue!
 
mnuso wa kwako lini mana hata mi sijaugusa mda mrefu
 
Am a female aged 26,am a Tanzanian.Am a poet by proffession.And i love excellent so so much,i want him to be my future husband.Please friends help me by telling him that

We ndo mama mchungaji?? Uwe unakaa vzuri ushamtega mwenzio exellent, kama vipi hamia kwangu.
 
Mi wangu ulishapitaga na hadithi za 'hapo zamani za kale'!!! Labda tusubirie round ya pili kama ikitokea lol! BTW, usisahau kama umedondokewa na kabakabana!
naona amenikimbia au ameshachukuliwa na washawasha
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom