Natafuta mwanamke HIV+

Natafuta mwanamke HIV+

Better if you write in swahili language ,don't you know we whites in this forum ,we are very few .?

Tell me the character of the wife you wish to be with that I can start fighting to give you what you want
 
I'm cloude

With HIV+
44 age

Leave Rwanda
I need a wife
From Rwanda, Tanzania, Kenya
Be with HIV+
I want to make marriage with her
I have one child
I love god
Job
If you accept to leave rwanda very good

Or in your country
Contact me to mbayve@gmail.com

Na mimi sijaelewa huku

The Icebreaker huyu LEAVE atakuwa anamaanisha nini?
 
Naomba mmoja wenu anitafsirie huu uzi kwa Kiswahili,
Kama ni tangazo la kazi niApply sasa hivi.
 
Naomba mmoja wenu anitafsirie huu uzi kwa Kiswahili,
Kama ni tangazo la kazi niApply sasa hivi.
Anasema yeye ni mwanaume mwenye umri wa miaka 44, anaishi Rwanda na ana maambukizi ya HIV. Anatafuta mwanamke ambaye pia ana HIV ili aoe.

Anatokea Rwanda, Ana mtoto mmoja, Anampenda Mungu, Ana kazi, Anapendelea mwanamke kutoka Rwanda, Tanzania au Kenya, Yeye mwanaume yuko tayari kuishi Rwanda anakotokea au kuhamia nchi ya mwanamke atakaekubali, Anataka ndoa ya kudumu.



JE WEWE UNATAKA KAZI NI MWANAMKE HUYO AMTAKAE? NB NDOA NI KAZI PIA
 
Sasa maneno ya kiingereza yanakutoa upwiru🤣

Pole sana mkwe ukiwa busy wala husikii kitu! Mwaka unakata unauona!
Ubize upi wa kunitoa upwiru mimi ndugu ?
Kushinda barabarani nasubiri buku mbili za waja nao wanaonipa kuna muda jinsia ya kike natamani niseme usinipe buku mbili twende unipunguzie kokoro ila ndiyo vile naogopa wasije nirekodi nikapotea hewani .

Anyway nakuja mwanza _shamaliwa nimearikwa na kanisa la wasabato nizungumzie mambo ya uzazi tegemea kuniona nikitema yai huku natafuta kamchumba ka kisabato .
 
Back
Top Bottom