Nimeisoma DA
Good. Move imekwisha ila steling hauwawi
kwa jinsi michango yako ilivyo inaonesha tayari mlishakuwa wapenzi kitambo hivyo umeanzisha uzi kuweka wazi hapa jamvini.
Hongereni sana!![/QUOTE
Soma btn lines huyo ni the same person. Shituka oohh
we dena,same person ni nani na nani?
Nimeisoma DA
ulichosoma wewe ni kipi?
Mods merge this one.
Good. Move imekwisha ila steling hauwawi
hehe wenye wivu wajinyonge
natakutakia usiku mwema dia.hehe wenye wivu wajinyonge
Lol! Nakuaminia. Hivi ile mahari kwa babake The Boss ulishaipelekaga?
pesa si tatizo na hivi mrs the boss upo basi mambo hayatoharibika. Lol
atafanyaje sasa keshajikuta mamaa the boss
Multiple ID??!! Mpaka unajichanganya mara mwanamke mara mwanaume i.e Kongosho??! Aibu gani hz? Be smart plz
sijakusoma dena funguka plz
jamani wenye wivu utawajua tu,na ndio nishapendwa watu kama nyie wala siwapi nafasi
jamani husninyo,nimependa mwenzio
natakutakia usiku mwema dia.
nyts to u my love
Dont look back ila waombe msamaha kama kuna mtu umemkwaza maana umewakuta hapa mtaani.
jf is never boring....TB
Siku zote vikwazo haviishi, wewe songa mbele.
kila la heri. Mi naogopa kupenda nisije nikatendwa.
jamani unachonga kwanza mzinga unakula asali ukiogopa nyuki wala asali hutaionja kpz