Am so much in love with excellent

Am so much in love with excellent

mhh umpe nani?mume wa mtu?

umemsaidia lakini mumeo wa post via mobile coz analalamika mkewe wa kuta nne za nyumba kutwa anamuimbia taarabu na kumtikisia masaburi kama akina dada wa ndembe ndembe kanga moko laki si pesa million mbwembwe..
 
wee gozo kila siku misaiti mipya sijaelewa hata neno uloandika
 
Uwii mbona nazidi kumpenda huyu mwanaume jamani?
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom