Kabakabana
JF-Expert Member
- Aug 5, 2011
- 5,550
- 1,166
- Thread starter
- #181
Chaguo la Mungu au la macho yako? Ndio mnaishiaga kudundwa vibuti mnaanza kutujazia mada hapa za kuomba ushauri, hivi mtu mwenye akili timamu unaweza kumpenda mtu ambaye humjui? Sema unamtamani nitakuelewa. Tena ulivyo msanii unataka kabisa awe husband as if unajua kipande cha tabia zake. Angalia mama na umri wako, mapenzi hayatafutwi kwenye magazeti oohoo! Bora umpende 'washa washa' ni mwaminifu kiasi hata chupi za jirani zake wa kike zikianguka anazisuuza, kuliko hili balaa unalojitafutia kwa kuangalia picha. Ni wazo tu, una ruksa ya kuendelea kuleta usanii
hehehe mbona unaongea kwa jazba sana ndugu?yalishakukuta nini?