Kongosho
JF-Expert Member
- Mar 21, 2011
- 35,987
- 24,232
Eti anadai mie na jinsia mbili, kwa hiyo niwe smart nikakate moja mara mwanamke mara mwanamme.
Na mtu mwingine hapo kamkopi anamaanusha eti anamapepo yenye roho mbili mara anakuwa possesed na id 1, mara anakuwa possesed na id 2, kwa hiyo apelekwe akaombewe kwa mods ili hayo mapepo ya id mbili way-merge liwe pepo la id moja.
Duniani kuna mambo!

mhh,unajua mimi sijawaelewa kabisa?labda unifafanulie kwanza