hii ndo chit chatHIZO FEELINGS ZENU ZA KUPENDANA MUWE MNATUMIANA PRIVATE MESSAGES HAkUNA MTU ANAYETAKA KUJUA FEELINGS ZAKO KWA MTU FULANI.
lol akhu mimi nishafika kwa excellent wewe tafuta pengine
akikuzingua uje kwangu nitakupa tulizo la moyo
unamaanisha?
HIZO FEELINGS ZENU ZA KUPENDANA MUWE MNATUMIANA PRIVATE MESSAGES HAkUNA MTU ANAYETAKA KUJUA FEELINGS ZAKO KWA MTU FULANI.
penzi lenu jipya linaendeleaje?
mi nataka nikupe 200%100% namaanisha
mi nataka nikupe 200%
Hiyo picha hapo ni wewe?Mnaweza mkapendana halafu mkikutana mkapigana chini right away!Am a female aged 26,am a Tanzanian.Am a poet by proffession.And i love excellent so so much,i want him to be my future husband.Please friends help me by telling him that
Hiyo picha hapo ni wewe?Mnaweza mkapendana halafu mkikutana mkapigana chini right away!
Ni kweli,lakini mkikutana kwa mara ya kwanza halafu mmoja wenu akakuta ya tofauti na yale aliyotarajia,then hapo kunaanza utata.yani huyo kafanana na mimi kwa mbaaali lakini nimemzidi mng'ao.wala hilo halitatokea nampenda kweli
Ni kweli,lakini mkikutana kwa mara ya kwanza halafu mmoja wenu akakuta ya tofauti na yale aliyotarajia,then hapo kunaanza utata.
Ndo ukweli huo,umeshajuwa anapendelea nini inapokuja kwa kina dada?
aisee namshukuru Mungu nilifanya chaguo sahihi
Ok,nawatakia mapenzi mema na safari njema kwenye maisha yenu.niombee mema tu ndugu yangu.
Bwana Mungu awabariki na kuwalinda.
Ok,nawatakia mapenzi mema na safari njema kwenye maisha yenu.
Umempenda yeye au picha yake au hoja zake na comments zake humu JF?