Am I a loner,selfish?

Am I a loner,selfish?

Habari za Pasaka. Jana ilikuwa sikukuu hivyo nilipata mialiko. Ajabu nilikataa mialiko yote nikaamua kukaa nyumbani peke yangu siku nzima na sikuboreka hata kidogo kwasababu nishazoea na nilipanga nisitoke.

Mwaliko wa kwanza Bi Mkubwa kanipigia asubuhi,anajua nakaa mwenyewe, kaniomba niende nyumbani nikajumuike nao. Bila kujiuliza nikamjibu leo sitaweza kuja nimetoka nje ya mji wakati nimepanga kushinda nyumbani.

Baadae kanipigia binamu wangu,me, kaniomba aje nae nikamwambia leo sitakuwepo nyumbani. Wa mwisho rafiki yangu mkubwa kanipigia jioni kaniuliza kama nipo tu nyumbani anipitie tukasafishe macho maeneo fulani, huyu nilimjibu tu kuwa nipo ila leo sitoki.

Nimekaa nikajifikiria naweza kuwa mbinafsi au loner fulani bila kujijua? Maanake napenda sana kukaa mwenyewe nyumbani au naweza kwenda sehemu ya starehe peke yangu. Na kuna marafiki wananishangaa nawezaje kukaa mwenyewe siku nzima!
Wewe uko kama mimi ila mimi tabia hii imenicost sana na ndio nashindwa kubadilika. Sipendi sana Kiwingu!
 
Habari za Pasaka. Jana ilikuwa sikukuu hivyo nilipata mialiko. Ajabu nilikataa mialiko yote nikaamua kukaa nyumbani peke yangu siku nzima na sikuboreka hata kidogo kwasababu nishazoea na nilipanga nisitoke.

Mwaliko wa kwanza Bi Mkubwa kanipigia asubuhi,anajua nakaa mwenyewe, kaniomba niende nyumbani nikajumuike nao. Bila kujiuliza nikamjibu leo sitaweza kuja nimetoka nje ya mji wakati nimepanga kushinda nyumbani.

Baadae kanipigia binamu wangu,me, kaniomba aje nae nikamwambia leo sitakuwepo nyumbani. Wa mwisho rafiki yangu mkubwa kanipigia jioni kaniuliza kama nipo tu nyumbani anipitie tukasafishe macho maeneo fulani, huyu nilimjibu tu kuwa nipo ila leo sitoki.

Nimekaa nikajifikiria naweza kuwa mbinafsi au loner fulani bila kujijua? Maanake napenda sana kukaa mwenyewe nyumbani au naweza kwenda sehemu ya starehe peke yangu. Na kuna marafiki wananishangaa nawezaje kukaa mwenyewe siku nzima!
Same here

Mie kama sina issue ya kufanya naweza ingia ndani ijumaa nikatoka jumatatu
 
Mimi nirahisi kujichanganya na jinsia ya kiume,lakini huwa napata taabu mno kujichanganya na watoto wa kike, hasa nikiwakuta wako wengi nina aibu wananiita baba paroko kazini sijui jinsi ya kulitatua hili tatizo
 
Habari za Pasaka. Jana ilikuwa sikukuu hivyo nilipata mialiko. Ajabu nilikataa mialiko yote nikaamua kukaa nyumbani peke yangu siku nzima na sikuboreka hata kidogo kwasababu nishazoea na nilipanga nisitoke.

Mwaliko wa kwanza Bi Mkubwa kanipigia asubuhi,anajua nakaa mwenyewe, kaniomba niende nyumbani nikajumuike nao. Bila kujiuliza nikamjibu leo sitaweza kuja nimetoka nje ya mji wakati nimepanga kushinda nyumbani.

Baadae kanipigia binamu wangu,me, kaniomba aje nae nikamwambia leo sitakuwepo nyumbani. Wa mwisho rafiki yangu mkubwa kanipigia jioni kaniuliza kama nipo tu nyumbani anipitie tukasafishe macho maeneo fulani, huyu nilimjibu tu kuwa nipo ila leo sitoki.

Nimekaa nikajifikiria naweza kuwa mbinafsi au loner fulani bila kujijua? Maanake napenda sana kukaa mwenyewe nyumbani au naweza kwenda sehemu ya starehe peke yangu. Na kuna marafiki wananishangaa nawezaje kukaa mwenyewe siku nzima!
Hiyo ni tabia nzuri sana.

Kwa kuwa hivyo unaepuka UGOMVI, UMBEA na unapata muda wa kutafakari mengi kuhusu maisha yako.

Ila inapendeza zaidi ukiwa peke yako pia usome BIBLIA.
 
Back
Top Bottom