Am I a loner,selfish?

Am I a loner,selfish?

Kua a loner ni tofauti na kua selfish!!!
Unaenjoy kampany yako mwenyewe... Nakuelewa kabisa mkuu!!! Lakini ni vizuri ukawa na marafiki kama watatu ivi
 
nimepitia comments nikashangaa saana hili swali halipo

Wana nguvu ya ushawishi saana. Kiasi kwamba ungekuwa naye asilimia nyingi ungemtoa. Ila sio kutoka.
Sio kila mmoja anaweza kua katika uhusiano na introverts!!!
 
Ma senior bachelor wote mko hivyo.eniwei hata mimi nipo hivyo naenjoy sana kampani yangu mwenyewe.ila kutoka na kuishi uswahilini automatikale ikabidi ni adapt ujamaa na kuwa social,so huwa na switch kutokana na mazingira samtaimz nakuwa loner samtaimz nakuwa social hata kwa kujifosi.
Nikipata mialiko kama ulopata wewe leo huwa nachagua michache ya muhimu then nakwenda.ila kila napokwenda natumia walau lisaa limoja then nasepa
 
Back
Top Bottom