Am I a loner,selfish?

Am I a loner,selfish?

Mkuu uko hivi mara kwa mara au ni mara chache tu? Mie hilo la kualikwa kwa Bi Mkubwa ndiyo limenishangaza lakini mengine hayo kama hayatokei mara kwa mara sioni cha kushangaza hasa kama ulikuwa na shughuli zako binafsi nyumbani, lakini kama hali hii inatokea mara nyingi jaribu kubadilika ila usibadilike kwa kuwa na watu ambao hufurahii company yao kwa sababu moja au nyingine.

Habari za Pasaka. Jana ilikuwa sikukuu hivyo nilipata mialiko. Ajabu nilikataa mialiko yote nikaamua kukaa nyumbani peke yangu siku nzima na sikuboreka hata kidogo kwasababu nishazoea na nilipanga nisitoke.

Mwaliko wa kwanza Bi Mkubwa kanipigia asubuhi,anajua nakaa mwenyewe, kaniomba niende nyumbani nikajumuike nao. Bila kujiuliza nikamjibu leo sitaweza kuja nimetoka nje ya mji wakati nimepanga kushinda nyumbani.

Baadae kanipigia binamu wangu,me, kaniomba aje nae nikamwambia leo sitakuwepo nyumbani. Wa mwisho rafiki yangu mkubwa kanipigia jioni kaniuliza kama nipo tu nyumbani anipitie tukasafishe macho maeneo fulani, huyu nilimjibu tu kuwa nipo ila leo sitoki.

Nimekaa nikajifikiria naweza kuwa mbinafsi au loner fulani bila kujijua? Maanake napenda sana kukaa mwenyewe nyumbani au naweza kwenda sehemu ya starehe peke yangu. Na kuna marafiki wananishangaa nawezaje kukaa mwenyewe siku nzima!
 
Sio mara zote, ila kwa kifupi im more comfortable alone at home.
 
RRONDO I've learnt that you're a single senior bachelor.

I was talking to a man in his late 20s the other day, I told him we should start a movement to ban masturbation because it turns some to chronic masturbators and makes some depreciate the opposite sex and eventually marry very late, some even stay single forever, and we just laughed to it.

No offense but Immediately I read your post it just clicked in my head "chronic masturbator" lol.

although I see no real problem with being introverted, for a man your age and your circumstances to ask something like this kinda bothers me. Sounds like what a heartbroken teenage kid asks. I get Lotta questions.

Is this the way you expected your life to turn out? Are you still suffering a heart break? Do you feel like you haven't met "the one"? Are you truly happy with that lifestyle? Do u have personality issues, too egoistic? No I don't need your answers just thinking out loud.

And one's introversion is definitely not an excuse for their partner to feel ignored, their partners are usually the ones who enjoy the social side of the introvert.
 
Habari za Pasaka. Jana ilikuwa sikukuu hivyo nilipata mialiko. Ajabu nilikataa mialiko yote nikaamua kukaa nyumbani peke yangu siku nzima na sikuboreka hata kidogo kwasababu nishazoea na nilipanga nisitoke.

Mwaliko wa kwanza Bi Mkubwa kanipigia asubuhi,anajua nakaa mwenyewe, kaniomba niende nyumbani nikajumuike nao. Bila kujiuliza nikamjibu leo sitaweza kuja nimetoka nje ya mji wakati nimepanga kushinda nyumbani.

Baadae kanipigia binamu wangu,me, kaniomba aje nae nikamwambia leo sitakuwepo nyumbani. Wa mwisho rafiki yangu mkubwa kanipigia jioni kaniuliza kama nipo tu nyumbani anipitie tukasafishe macho maeneo fulani, huyu nilimjibu tu kuwa nipo ila leo sitoki.

Nimekaa nikajifikiria naweza kuwa mbinafsi au loner fulani bila kujijua? Maanake napenda sana kukaa mwenyewe nyumbani au naweza kwenda sehemu ya starehe peke yangu. Na kuna marafiki wananishangaa nawezaje kukaa mwenyewe siku nzima!

Mimi ni complete loner
 
Back
Top Bottom