Am I a loner,selfish?

Am I a loner,selfish?

Mhhhh..yawezekana ushakula bata sanaa kiasi kwamba nothing excites you anymore..
Spending the day alone I do that sometimes., but going out alone naaah...
Inabd upate mwanamke machepeleee hivi akuchangamshe....
Wewe si unanikimbia kila siku...
 
Are you persuading him to go out to look for heartbreakers ?

Hell nah.
Well this is the problem with the world these days, I could write pages about it.... that's probably how you'll end up a senior bachelor. But Whatever makes you comfortable with your life......
 
I decided not to respond coz u said u dont want my answer. But in short u got it completely wrong and put it the way u see it and its not what you think.

This thread is not about relationships, im not lonely by any means. There are people who know who i am probably they are laughing now. I value my me time more than sharing my time with other people, its nothing to do with loneliness or being senior bachelor or whatever u think it is.

But hey, its an open thread everyone can air their opinions.
Yes I didn't want your answer coz like I said I was convinced it wouldn't be genuine (and I also thought you wouldn't want to reply to it at all but thanks for clearing that up.)

Well the heading asked if you're loner or selfish so it was up to us to figure out what the the problem is all about and that was my percepective so u can't say that that's not what it was about. But of course I could be wrong.
 
This guy is turning this thread into a complete wrong direction. Did i say im lonely because im single? Do u really know me? Kuna mtu nimemjibu kuwa majibu mengine unawapa watu to stop a conversation going to a different perspective, say what somebody want and like to hear.
And this is why I didn't want you to answer it. You've already set your boundaries. It's like someone asks "i constantly have stomach aches do you think I have stomach ulcers? Just don't talk about my reproductive system "
 
I made this very clear. Napenda kukaa mwenyewe, siboreki kwa sababu nimechagua hivyo. Nina marafiki wengi ambao nikiinua simu tu wanakuja au nawaambia naenda walipo, ila najisikia raha zaidi kukaa nyumbani na siboreki. Mfano tangu jana mpaka sasa hivi natoka kwenda dukani tu na kurudi ndani. Im not bored at all, im enjoying watching tv and browsing jf more than being around some people.

Sasa hali hii ya hata kukataa mialiko ya watu na kuona bora nikae mwenyewe ndio leo asubuhi nimeamka nikajiuliza may be im not normal.....but to my surprise wengi wamesema ni kawaida na waliojibu wengi wamesema wako kama mimi.
It's better to stay lonely lather than hanging around envy useless friends and even relatives who doesn't make you happy at all but always unleashing pains and miseries upon you
Hivyo hivyo nikipata chance namtembelea pia nayeye akipata anakuja maisha yanasongaa

Kiongozi, huna hata wa kuisuuza nafsi wakati ukijisikia lonely?

Do you ever feel lonely?

Kabla ya kuoa nilikuwa napenda kukaa peke yangu, the whole weekend naweza kwenda church tu. But after that napenda kutumia mda wangu mwingi na familia. I bet ukija kuwa na familia utakuwa "a family man".
 
This guy is turning this thread into a complete wrong direction. Did i say im lonely because im single? Do u really know me? Kuna mtu nimemjibu kuwa majibu mengine unawapa watu to stop a conversation going to a different perspective, say what somebody want and like to hear.
Definitely.
 
kumbe tupo wengi hii tabia mi nakaa ndani ijumaa mpaka jumatatu nachukulia kawaida tu but nikipata mualiko naenda na nowday nina kazi nyingi muda wa kukaa ndani umepungua
 
Sababu ipi ilifanya usiende kwenye hiyo mialiko??

Halafu pia kwa nini unadanganya mkuu
 
Kumbe tupo wengi maanake nilikuwa najishtukia.
Mimi pia ni mwathirika wa haya makitu. Ugomvi mwingi na huyu shemeji yenu ni kukacha masherehe wakati yeye ni muumini. Harusi nyingi anaenda na mtoto mzee mzima najibakia zangu home naangalia movie...

Nna mpango wa kujirekebisha kabla sijatengwa.
 
Habari za Pasaka. Jana ilikuwa sikukuu hivyo nilipata mialiko. Ajabu nilikataa mialiko yote nikaamua kukaa nyumbani peke yangu siku nzima na sikuboreka hata kidogo kwasababu nishazoea na nilipanga nisitoke.

Mwaliko wa kwanza Bi Mkubwa kanipigia asubuhi,anajua nakaa mwenyewe, kaniomba niende nyumbani nikajumuike nao. Bila kujiuliza nikamjibu leo sitaweza kuja nimetoka nje ya mji wakati nimepanga kushinda nyumbani.

Baadae kanipigia binamu wangu,me, kaniomba aje nae nikamwambia leo sitakuwepo nyumbani. Wa mwisho rafiki yangu mkubwa kanipigia jioni kaniuliza kama nipo tu nyumbani anipitie tukasafishe macho maeneo fulani, huyu nilimjibu tu kuwa nipo ila leo sitoki.

Nimekaa nikajifikiria naweza kuwa mbinafsi au loner fulani bila kujijua? Maanake napenda sana kukaa mwenyewe nyumbani au naweza kwenda sehemu ya starehe peke yangu. Na kuna marafiki wananishangaa nawezaje kukaa mwenyewe siku nzima!

You are who you are. But neither loner nor selfie..!
 
Nimekaa nikajifikiria naweza kuwa mbinafsi au loner fulani bila kujijua? Maanake napenda sana kukaa mwenyewe nyumbani au naweza kwenda sehemu ya starehe peke yangu. Na kuna marafiki wananishangaa nawezaje kukaa mwenyewe siku nzima!

Niliwahi kuyaishi haya maisha kwa kipindi kirefu kabla sijaoa, ni nature flani ya ubinafsi, unakuwa unajiona you are comfortable and safe alone.

Moja ya sifa za watu wa namna hii ni vile wanaona hawataongeza chochote kutoka kwa watu wengine, na hata akijichanganya na watu anakuwa ni mtu ambaye hachangii sana hoja kwa sababu anaona discussion zimekaa kifamba famba.

Kwa hiyo ni bora wakae ndani tu kuliko kuboreka.
 
Back
Top Bottom