Heaven on Earth
JF-Expert Member
- Mar 21, 2013
- 37,226
- 26,716
TBS inayo....Aisee......kama bidhaa ina TBS au ISO naweza kununua...
TBS inayo....Aisee......kama bidhaa ina TBS au ISO naweza kununua...
Una manage vip kuwa ktka long distance relationship ?Hapana lkn mwenzangu yupo mkoa mwingine na mm mkoa mwingine
That's powerfulIm practising safe sex. Hata kama hununui unprotected sex ni hatari pia.
unawezaje kukataa hata kwenda kwa bi mkubwa? watu kibao wanakuhitaji wala hujali .yaani wewe unajiwazia wewe tu .sio fair hata kidogo .ila sio tatizo lako mwenyewe wanaume wengi mpo hivoKwanini labda? Wewe ndio wa kwanza unasema hivyo wengi wanasema ni kawaida.
Hii tabia ninayo aiseeKumbe tupo wengi!!!
me huwa naamua kujifungia tena chumbani.
Sipendi kusikia makelele ya tv wala radio.
Kuna siku huwa sipendi kupokea cm kabisa.
Lazima cm iwe ina bando muda mwingi nitakuwa Jf na kusinzia, nikiwa nimeamua kupumzika inaweza kuchukua hata siku tatu.
Kama kitu kilikuwa kinanisumbua basi siku nitakayoamka hapo nakuwa nimeshapata solution
Mhh haya nimekuelewa....ila kukataa kwangu pia kunachangiwa na uvivu wa kuanza kutoka home kwenda mpaka huko wakati nilishapanga kukaa nyumbani weekend yote nipumzike.unawezaje kukataa hata kwenda kwa bi mkubwa? watu kibao wanakuhitaji wala hujali .yaani wewe unajiwazia wewe tu .sio fair hata kidogo .ila sio tatizo lako mwenyewe wanaume wengi mpo hivo
na mimi nikiwa in need naruhusiwa kukucheki mteja wangu???Ok when im in need i will contact you madam.
Habari za Pasaka. Jana ilikuwa sikukuu hivyo nilipata mialiko. Ajabu nilikataa mialiko yote nikaamua kukaa nyumbani peke yangu siku nzima na sikuboreka hata kidogo kwasababu nishazoea na nilipanga nisitoke.
Mwaliko wa kwanza Bi Mkubwa kanipigia asubuhi,anajua nakaa mwenyewe, kaniomba niende nyumbani nikajumuike nao. Bila kujiuliza nikamjibu leo sitaweza kuja nimetoka nje ya mji wakati nimepanga kushinda nyumbani.
Baadae kanipigia binamu wangu,me, kaniomba aje nae nikamwambia leo sitakuwepo nyumbani. Wa mwisho rafiki yangu mkubwa kanipigia jioni kaniuliza kama nipo tu nyumbani anipitie tukasafishe macho maeneo fulani, huyu nilimjibu tu kuwa nipo ila leo sitoki.
Nimekaa nikajifikiria naweza kuwa mbinafsi au loner fulani bila kujijua? Maanake napenda sana kukaa mwenyewe nyumbani au naweza kwenda sehemu ya starehe peke yangu. Na kuna marafiki wananishangaa nawezaje kukaa mwenyewe siku nzima!
Sasa sikukuu yote ile umebaki nyumbani peke yako ina maana yule mtoto mzuri uliemkwapua hapa JF mlishaachana?

wanasema communication is the key.... distance does not separate people but silence does... kuongea now and then mnapopata nafasi ni muhimu...Una manage vip kuwa ktka long distance relationship ?
Sio muda wote...kuna wakati najirusha vizuri tu. btw umeadimika, busara zako tumezikosa muda sasa.Kuna wakati mtu anahitaji kuwa peke yake,kuna wakati pia huwa anahitaji kuwa na watu,kwenye michanganyiko ya watu...
Pamoja na hayo kuna watu wengine ndivyo walivyo,yaani wao wanapenda sana kuwa peke yao...
Kuna wengine wapo hivyo kwasababu ya matukio fulani yaliyowatokea huko nyuma na kuwasababisha kuwa hivyo,hili ni tatizo...
Sijaona mahali ukieleza sababu ya wewe kuwa hivyo,lakini kama kuna wakati tu unajisikia kuwa hivyo sioni kama ni tatizo....
Ukijisikia kuwa hivyo muda wote hilo ni tatizo....
Wat if mmoja hayupo cooperative kwenye mawasiliano, however Hard you try to maintain communication hupati ushirikiano, hapo tafsiri yake niniwanasema communication is the key.... distance does not separate people but silence does... kuongea now and then mnapopata nafasi ni muhimu...
then you need to have oneSwali hili nilitegemea liwe la kwanza. Sina demu mkuu. Ingekuwaje ningekuwa nae?