BRN
JF-Expert Member
- Nov 18, 2013
- 5,346
- 6,841
Mkuu kuna uzi kule jukwaa la the palace wa Reina princess anauliza..are you an old souls..fanya kaupitieUchoyo anatania tu....mimi kama sio JF naangalia TV.
Mkuu kuna uzi kule jukwaa la the palace wa Reina princess anauliza..are you an old souls..fanya kaupitieUchoyo anatania tu....mimi kama sio JF naangalia TV.
unanunua??? mara ya mwisho kununua lini???Hapana huwa nanunua.
labda na mie nataka kukuuzia...Katika thread nzima hilo ndio umeliona?!
Hapana lkn mwenzangu yupo mkoa mwingine na mm mkoa mwingineUpo single ?
SaaaanaKumbe nina pacha wengi....
Mambo mengi hasa hsa km mtu sijamzoea ,,,na pia mazingira mageni kwanguuuUna uoga wa nini?
Mfano labda nimekuja kwako,,,,hayo nimazingira mageni kwangu ni ugenini......so nakuwa mkimya kwanza nasoma mazingira so inakuwa vugumu hata kwa wenyeji kunizoeaYapi ni mazingira mageni?!
Bila shaka umebana matumizi.
Umeokoa mifuko mitatu ya cement



mkuu wewe ni wapande za kaskazini?Huoni kama kununua ni hatari kwa afya yako ?Hapana huwa nanunua.