Almanusura mtoto atolewe kafara

Huyo jamaa alikuwa na mikono mingapi? Amebeba Msumeno, Panga, Kashikilia mtoto huku mikono mingine akipambana na maaskari kwenye maji.
Maaskari wamefanya vyema kumwokoa huyo mtoto lakini kwa namna uokoaji ulivyofanyika bado mtuhumiwa angeweza kumuua huyo mtoto kwa panga na yeye kujiua. Mungu ni mwema mtoto yuko salama.
Msumeno na panga alikuwa navyo kabla ya kukimbilia kwenye maporomoko na kabla hajavua nguo polisi walivyokuja ndio akakimbilia sehemu ya maporomoko huku akitoa tahadhar kuwa asisogelewe kwakuwa anataka kutoa sadaka

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mnamo tarehe 19/12/2019 majira ya SAA 18:30hrs A/Insp Mganga nikiwa na askari wenzake doria nyuki tulipata taarifa kuwa maeneo ya nguzo camp site kwenye maporomoko ambako yanakingwa maji ya Railway kuna mtu anakata mabomba ya miundo mbinu ya maji na anaoneka akiwa na mtoto anayekadiriwa kuwa na umri 5_7 akiwa amemshikilia ndani ya maporomoko ya maji,huku akiwa na panga na msumeno kitendo kinachoashiria kuwa na nia ovu dhidi yake na mtoto. Askari wametumia ujasili was hali ya juu kuokoa maisha yake na mtoto Mara baada ya mtu huyo kujitosa kwenye kina cha maporomoko marefu ya maji na kufanikiwa kuwaokoa maisha yao.
View attachment 1298392

Jr

Update
Hili tukio si Mbweni ya Dsm kama inavyotangazwa kwa sababu zifuatazo:
1. DSM hakuna mto wenye maji meupe vile mito hii yenye maji meupe hupatikana sehemu yenye milima kama vile, Moro, Mbeya, Kilimanjaro Tanga na Arusha.
2. Dar hakuna mto unaokuwa na Maporoko ya maji (water falls) kama inavyoonekana.
3. DSM hususani Mbweni iliyojirani na bahari hakuna mawe (miamba) ya namna ile kama yanayoonekana miamba ya pwani (coastal rocks) ina julikana kwa kuiona.
Ni kweli tukio hili limetokea Tanzania kutokana na lugha inayozungumzwa pale lakini si Mbweni ya Dsm.
Dah! Hatari saana kwakweli! Hii video nimeishuhudia mahala flani kwenye group la WhatsApp! Aisee duniani ni taabu tupu! Jamaa anaseleleka na mtoto mkononi na panga, sijui msumeno!

Back
Top Bottom