Finegirlone
JF-Expert Member
- Oct 9, 2018
- 1,836
- 3,617
Hakika ndugu alikuwa afe kikatiliMungu ni huyo aliyewatonya askari
Sent using Jamii Forums mobile app
Hakika ndugu alikuwa afe kikatiliMungu ni huyo aliyewatonya askari
Sasa mkuu na ww kwa namna hiyo ya uokoaji unaweza kuwasifu hao askari??Aisee! Yaani kuna watu mmejaa kejeli kwa kila kitu.
Mtu alikuwa na kisu na msumeno na ukiangalia hali ya mazingira ilivyo lakn mtoto kaokolewa akiwa salama lakn bado unalaumu..
Hayo ndio matatzo ya kukalilishwa matukio ya kwenye movie ya kuandaliwa.
Sent using Jamii Forums mobile app
CONTROLAMnamo tarehe 19/12/2019 majira ya SAA 18:30hrs A/Insp Mganga nikiwa na askari wenzake doria nyuki tulipata taarifa kuwa maeneo ya nguzo camp site kwenye maporomoko ambako yanakingwa maji ya Railway kuna mtu anakata mabomba ya miundo mbinu ya maji na anaoneka akiwa na mtoto anayekadiriwa kuwa na umri 5_7 akiwa amemshikilia ndani ya maporomoko ya maji,huku akiwa na panga na msumeno kitendo kinachoashiria kuwa na nia ovu dhidi yake na mtoto. Askari wametumia ujasili was hali ya juu kuokoa maisha yake na mtoto Mara baada ya mtu huyo kujitosa kwenye kina cha maporomoko marefu ya maji na kufanikiwa kuwaokoa maisha yao.
View attachment 1298392
Jr[emoji769]
Update [emoji116][emoji116][emoji116][emoji116]
Hili tukio si Mbweni ya Dsm kama inavyotangazwa kwa sababu zifuatazo:
1. DSM hakuna mto wenye maji meupe vile mito hii yenye maji meupe hupatikana sehemu yenye milima kama vile, Moro, Mbeya, Kilimanjaro Tanga na Arusha.
2. Dar hakuna mto unaokuwa na Maporoko ya maji (water falls) kama inavyoonekana.
3. DSM hususani Mbweni iliyojirani na bahari hakuna mawe (miamba) ya namna ile kama yanayoonekana miamba ya pwani (coastal rocks) ina julikana kwa kuiona.
Ni kweli tukio hili limetokea Tanzania kutokana na lugha inayozungumzwa pale lakini si Mbweni ya Dsm.
Hata Mimi sijaona.Dah.... Kiukweli sijaona ujasiri wowote uliotumika....msemakweli mpenzi wa Mungu [emoji2960]
Sent using Beretta ARX 160
KWa hiyo unafikiria alikuwa anataka kumginga au?Mbna kama huyo baba yupo uchi na mtt yupo uchi
haoana sijawaza hilo meuliza nifahamishwe labda kafara ndo zilivyoKWa hiyo unafikiria alikuwa anataka kumginga au?
Mshana Jr.Kama sijawaza hilo meukizwa nifahamishwe labda kafara ndo zilivyo
Halafu wakumbuke maji yale yanatembea! Wale sio wanamajiMovie zinawaharibu
Ndiyo laana yenyewe, hapo mtoto atahitaji tiba ya kisaikolojiaMbna kama huyo baba yupo uchi na mtt yupo uchi
Atakuwa kadanganywa na mganga si bure
Hio familia inahitaji uponyaji Wa kiroho kwa watumishi wa Mungu huyo mtoto maendeleo yake darasani hayatokuwa mazuri bila uponyaji wa kisaikolojia.Ndo huwa kuja kukawa madikteta sababu ya ukatili utotoniWEKA UTHIBITISHO HAPA KAMA LILIKUWA TUKIO LA KAFARA. KWA MAELEZO YA MKEWE NI KUWA JAMAA AMAECHANGANYIKIWA .WEWE UNAKUJA KUDAI KAFARA. MSHANA MENGINE UWE UNAYAACHA TU YAPITE SI LAZIMA USEMEE HATA KAMA SI SAWA.
WEKA UTHIBITISHO HAPA KAMA LILIKUWA TUKIO LA KAFARA. KWA MAELEZO YA MKEWE NI KUWA JAMAA AMAECHANGANYIKIWA .WEWE UNAKUJA KUDAI KAFARA. MSHANA MENGINE UWE UNAYAACHA TU YAPITE SI LAZIMA USEMEE HATA KAMA SI SAWA.
Sikutaka kukujibu kwakuwa siku hizi una mambo ya kipuuzi sana hasa unapoona post zangu lakini hili ngoja nilitolee ufafanuzi usije kujiona bingwa...
Maelezo ya kafara na sadaka aliyatoa mtuhumiwa mwenyewe wakati akitaka kukamatwa na wakati akiwa polisi.. Umesema mkewe kasema jamaa hakuwa sawa a week before ni kweli kabisa.. Na hicho ndio kilimuongoza kuona anaweza kumtoa mwanae kafara au sadaka
Jr[emoji769]
Thats the problem. You take it personal. Why? Zoea kukosolewa. Tatizo unaamini kuwa kila mtu JF atakuwa anakubaliana nawe linapokuja suala la ushirikina.mimi sipo hivyo.mi napenda kuwa mkweli.ili pia nisikupoteze rafiki yangu maana naona "umesifiwa kukimbia unapitiliza hadi kwenu"
Hilo la jamaa kuwa deranged lipo wazi kabisa.hamna cha kafara wala nini. The man is not ok mentally. Period. Siyo ndo upate sehemu ya kuwapigia fix wadau.wengine wanashindwa kukwambia but mi napenda niwe mkweli tu na muwazi.
Mambo ya kipuuzi hutegemea na mtizamo na msimamo wa mtu.unajua jambo zuri au baya linategemea mtizamaji umekaa/simama katika angle gani.mimi napenda ukweli tu ndo maana anybody akikosea ntamwambia tu.nami nikikosea niambiwe.
Mambo mengine yapishe mshana.yapishe tu yapite si lazima kila jambo la namna hiyo uliingize kwenye kile unachodhani you are an expert.huu ushauri wangu unaweza ona umekushusha but trust me later on utakuja gundua ukweli.na unakumbuka mara nyingi zile post ambazo huwa unaenda kombo mi nakuweka tu wazi then i hold no grudges. I move forward.
,[emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji120][emoji120][emoji120][emoji120][emoji120]