Movie zinawaharibuYaani polisi 3 wanapelekeshwa na mtu mmoja tena alombeba mtoto juu?kuna haja polisi nao wakawa na kitengo cha ukomando kama jw sio kwa kukegea hivyo ina maana huyo jamaa angekuwa peke yake angewaacha
Mbweni amna mto wenye maporomoko!
Mimi nampongeza askari wa mwanzo kabisa kujitosa kwenye maji maana ameonyesha ujasiri na ukakamavu wa hali juu sana mpk kumnyang'anya mtoto,
Hawa askari wengine pamoja na kazi nzuri waliyoifanya ila walionyesha kusitasita kuingia kwenye maji, pia mtuhumiwa mwili wake unaonekena amejengeka kimazoezi nahisi na yeye pia ni askari au alishawahi kupitia mafunzo ya ukakamavu.
Nimejaribu kumuangalia mtuhumiwa kwa umakini baada ya kujitupa ndani ya maji mikononi mwake hakua na silaha ya aina yoyote.
Maendeleo hayana chama
jamaa karuka kama muvi vile, pongezi kwakeMimi nampongeza askari wa mwanzo kabisa kujitosa kwenye maji maana ameonyesha ujasiri na ukakamavu wa hali juu sana mpk kumnyang'anya mtoto
Bora wali dagaa kuliko wali mwenguHao ndo walimwengu
Ilikuwa kafara hii
Siyo kila mtu unaweza kufanikiwa kumuua kama ulivyopanga iwe kwa uchawi,ushirikina,bunduki,mapanga au kumdumbukiza majini au ktk shimo refu haiwezekani.Inasemekana alikuwa kwenye maandalizi ya kumuua
Jr[emoji769]
Wana sema ugomvi na mke!!Ilikuwa kafara hii
Huu ni mfano mzuri sana. Watu walivyoshikwa na dini zao hawawezi kuelewa. Leo hii umchukue mtoto unaenda kumchinja kisa dini/imani?Nadhani alitaka kumtoa kafara kama Ibrahimu alivyotaka kumtoa Isaka
Hebu tafsiri neno hili: amna! Kwenye kamusi ya kiswahili halimo.Mbweni amna mto wenye maporomoko!