Akilinjema
JF-Expert Member
- Aug 9, 2016
- 11,428
- 11,837
WEKA UTHIBITISHO HAPA KAMA LILIKUWA TUKIO LA KAFARA. KWA MAELEZO YA MKEWE NI KUWA JAMAA AMAECHANGANYIKIWA .WEWE UNAKUJA KUDAI KAFARA. MSHANA MENGINE UWE UNAYAACHA TU YAPITE SI LAZIMA USEMEE HATA KAMA SI SAWA.
Hiyo ya mkewe kusema mumewe amechanganyikiwa yaweza kuwa kweli au si kweli pia!
Changamoto za makosa mengi yatokanayo na ulawiti, ubakwaji, makafala n.k mara nyingi hufanya na wanafamilia wa karibu au majirani.
Cha ajabu unakuta mwanafamilia au wanafamilia ndiyo huwa wa kwanza kuharibu kesi nzima tangu maelezo ya awali.
Lakini mahakama inauzoefu wa kesi za aina mbali mbali kwa hiyo wataweza kuona kama kweli jamaa alikuwa kachangangikiwa au la!
Lakini hiyo yaweza kuwa mbinu tu ya kujaribu kumsaidia mtuhumiwa!
Hizi jamii zetu sometimes!
Sent using Jamii Forums mobile app