Almanusura mtoto atolewe kafara

Almanusura mtoto atolewe kafara

Nimewadharau hao mnaosema askari huyo wanyuma alishindwa kumpiga hata roba moja matata nakushuka nae chini yamaji nakumuibua nakumzamisha tena nakumuibua kama mara tatu akili yake ingekaa sawa

Sent using Jamii Forums mobile app
Na pengine sio askari wanamaji je wewe ungeweza na mafunzo ya majini huna?
 
Cha kushangaza huyo mtoto toka mwanzo alikuwa kimya kama kapigwa ganzi ya mwili sijui alimpa nini yaani nijuavyo kwa watoto wengine hicho kilio kingetoka hapo kingeamsha mpaka mtaa wa pili huyu sijui alilishwa nini

Sent using Jamii Forums mobile app
Labda hakuwa na hofu alishatolewa na baba kuwa ni wanaogelea afu wanarudi home, na pengine alishafanya ivo kabla ili kumuaminisha mtoto ni kitendo cha kawaida
 
Huenda mtoto hakujua mwanzoni ndo alikuwa kwenye hatari, alikuwa na amani kwa kuwa alikuwa mikononi mwa baba yake, kumbe asijue ndo masaa yake yanahesabika, but mzazi kama huyu afungwe na huko ndani wanaume wamfanye yao, anakera sana
Hapo mwisho mtoto anapiga kelele mnaniuwa mnaniuwa kumbe ndio anaokolewa

Jr

Sent using Jamii Forums mobile app
 
alitaka kufanya kama Ibrahimu anamtoa sadaka Isaka.Sasa hapa Mungu kumletea hahamletea Kondoo badala yake aameleta kari police wamuokea Mtoto.Mungu ni mwema kwa mwenye haki
 
Huyo ni Ibrahim wa Moro na mwanae Isaka.. Tofauti zao ni kuwa huyu jamaa anakiba100 cha mwendokasi
 
Back
Top Bottom