Almanusura mtoto atolewe kafara

Almanusura mtoto atolewe kafara

Ni maisha tu na matukio, yamekuwepo kabla hatujazaliwa, yanakuwepo sasahivi, na yatakuwepo baada ya zama zetu kupita. Hayatakuwa na mwisho kwa sababu binadamu ni yuleyule tangu jana na hata milele na matatizo yake ni yale yale.

Haina haja ya kutafakari na kuwaza sana.

BTW, i admire the man's bravery to stay naked..!!!!!
 
Msumeno na panga alikuwa navyo kabla ya kukimbilia kwenye maporomoko na kabla hajavua nguo polisi walivyokuja ndio akakimbilia sehemu ya maporomoko huku akitoa tahadhar kuwa asisogelewe kwakuwa anataka kutoa sadaka

Sent using Jamii Forums mobile app
Mpuuzi sana huyo wenzie tunatoa pesa kama sadaka ye anatoa mtoto.... Maagano mengine ni ya kijinga sana..... Hii dunia tunapita, Kuna cha kujibu mbele huko...... Nimesikitika sana,,,

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hivi kina nini kile kitako? Mbona mtu ukipigwa nacho unalainika kama uyoga?
Brain concussion.
A concussion is a mild traumatic brain injury (TBI).
It can occur after an impact to your head or after a whiplash-type injury that causes your head and brain to shake quickly back and forth.
Jibu kutoka mitandaoni.
 
Huyu lazima ni ushirikina au uendawazimu. Msumeno na pangs!!!! Ilikuwa ni kifo. Ila huyo mtoto au mama yake amemshika Mungu hasa maana si kwa uokozi huo.
 
Mpuuzi sana huyo wenzie tunatoa pesa kama sadaka ye anatoa mtoto.... Maagano mengine ni ya kijinga sana..... Hii dunia tunapita, Kuna cha kujibu mbele huko...... Nimesikitika sana,,,

Sent using Jamii Forums mobile app
Huyu mwanaume akafungwe kifungo cha maisha, huko ndani wanaume wamfanye yao.............ndiyo adhabu stahiki, why kutaka kuondoa maisha ya malaika wa Mungu kikatili vile
 
Nimewadharau hao mnaosema askari huyo wanyuma alishindwa kumpiga hata roba moja matata nakushuka nae chini yamaji nakumuibua nakumzamisha tena nakumuibua kama mara tatu akili yake ingekaa sawa

Sent using Jamii Forums mobile app
Askari wale wamejitahidi sana,kumbuka pale siyo nchi kavu na wale ni askari wa nchi kavu.
Kumbuka pia,kama kumuokoa tu mtu anaekufa maji ni hatari kama usipokua makini,vipi kupambana na mtu mwenye akili timamu ndani ya maji.
Menhgine tuacheni uchunguzi ufanyike
 
Askari wamejitahidi sana. Kwanza kabla ya kudumbukia majini ni busara walipma pia usalama wao na mtoto. Askari wa mwanzo alifanya timing nzuri sana na aliingia pia majini kwa kasi ya ajabu bila mtuhumiwa au askari wenzake kushtukia. Huo ndiyo askari na impendeze kiongozi wake ampandishe cheo. Anastahili.
 
Hadi sasa sijaona umahiri wa vyombo vyetu vya Ulinzi na Usalama 9 December 2019 zero inachukua 5mnts hadi kumi kushuka kwenye helcopta kwa magaidi wa Kisomali hatuponi, hawa jamaa wamechukua zaidi ya 2mnts kumuokoa mateka kwa mtu asie na silaha hali wakijua inachukua 30 to 60 sekunde kuondoa uhai wa mtu, labda analindwa Tanzania one pekee.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Brain concussion.
A concussion is a mild traumatic brain injury (TBI).
It can occur after an impact to your head or after a whiplash-type injury that causes your head and brain to shake quickly back and forth.
Jibu kutoka mitandaoni.
Aisee..., concussion ni neno tamu sana, natamani hili neno livume kama beberu
 
Back
Top Bottom