Almanusura mtoto atolewe kafara

Almanusura mtoto atolewe kafara

Mnamo tarehe 19/12/2019 majira ya SAA 18:30hrs A/Insp Mganga nikiwa na askari wenzake doria nyuki tulipata taarifa kuwa maeneo ya nguzo camp site kwenye maporomoko ambako yanakingwa maji ya Railway kuna mtu anakata mabomba ya miundo mbinu ya maji na anaoneka akiwa na mtoto anayekadiriwa kuwa na umri 5_7 akiwa amemshikilia ndani ya maporomoko ya maji,huku akiwa na panga na msumeno kitendo kinachoashiria kuwa na nia ovu dhidi yake na mtoto. Askari wametumia ujasili was hali ya juu kuokoa maisha yake na mtoto Mara baada ya mtu huyo kujitosa kwenye kina cha maporomoko marefu ya maji na kufanikiwa kuwaokoa maisha yao.
View attachment 1298392

Jr

Update
Hili tukio si Mbweni ya Dsm kama inavyotangazwa kwa sababu zifuatazo:
1. DSM hakuna mto wenye maji meupe vile mito hii yenye maji meupe hupatikana sehemu yenye milima kama vile, Moro, Mbeya, Kilimanjaro Tanga na Arusha.
2. Dar hakuna mto unaokuwa na Maporoko ya maji (water falls) kama inavyoonekana.
3. DSM hususani Mbweni iliyojirani na bahari hakuna mawe (miamba) ya namna ile kama yanayoonekana miamba ya pwani (coastal rocks) ina julikana kwa kuiona.
Ni kweli tukio hili limetokea Tanzania kutokana na lugha inayozungumzwa pale lakini si Mbweni ya Dsm.
Ilikuwa morogoro na huyo jamaa alivyotolewa akawa anahojiwa akasema alitaka kumtoa sadaka mwanaye

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Aisee! Yaani kuna watu mmejaa kejeli kwa kila kitu.
Mtu alikuwa na kisu na msumeno na ukiangalia hali ya mazingira ilivyo lakn mtoto kaokolewa akiwa salama lakn bado unalaumu..

Hayo ndio matatzo ya kukalilishwa matukio ya kwenye movie ya kuandaliwa.

Sent using Jamii Forums mobile app
Huyo jamaa alikuwa na mikono mingapi? Amebeba Msumeno, Panga, Kashikilia mtoto huku mikono mingine akipambana na maaskari kwenye maji.
Maaskari wamefanya vyema kumwokoa huyo mtoto lakini kwa namna uokoaji ulivyofanyika bado mtuhumiwa angeweza kumuua huyo mtoto kwa panga na yeye kujiua. Mungu ni mwema mtoto yuko salama.
 
Hao Askari kweli?

Yaaani kama kwenye hii clip Askari wetu ndio wana mafunzo kama haya.
Maana yake askari wetu ni

Taka taka kabisa
Utakuwa unapakuliwa ww ....msengerema ww...askari anakosa gani hpo huoni jitahada zao unabeza tu ....hivi wale wasiojulikana kwann wasideal na upuuz Kama huu ....au unadhani I'd fake hii ndo unaweza usipatikane .....acha kulikosea jeshi la polisi.....mpuuzi ww

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Utakuwa unapakuliwa ww ....msengerema ww...askari anakosa gani hpo huoni jitahada zao unabeza tu ....hivi wale wasiojulikana kwann wasideal na upuuz Kama huu ....au unadhani I'd fake hii ndo unaweza usipatikane .....acha kulikosea jeshi la polisi.....mpuuzi ww

Sent using Jamii Forums mobile app
Umepanic? Sasa kama wewe ni askari n avihasira vyako kama hivi si utakuja kichwa kichwa na nitakupakua.
 
Mtu mmoja ambaye jina lake halijafahamika anashikiliwa na Jeshi la Polisi mkoani Morogoro baada ya kukutwa mtoni na mtoto mwenye umri kati ya miaka mitano hadi 10, wote wakiwa hawana nguo huku akiwa na panga na msumeno.

Tukio hilo limetokea juzi Alhamisi Desemba 19, 2019 katika maporomoko ya maji ya Nguzo Camp mkoani humo, video zake kuanza kusambaa jana asubuhi katika mitandao mbalimbali ya kijamii, zikimuonyesha akiwa na mtoto kwenye maji na watu wakifanya jitihada za kuwaokoa.

Alipotafutwa Kamanda wa Polisi Mkoa wa Morogoro, Wilbroad Mutafungwa kuzungumzia tukio hilo, amesema atalitolea maelezo ya kina leo Jumamosi Desemba 21, 2019 katika mkutano na waandishi wa habari.

Taarifa zinaeleza kuwa wakati mtu huyo akiwa katika maporomoko ya maji kwenye mto huo, askari waliokuwa katika shughuli nyingine walimuona na kumtilia shaka

“Walipomuona alijitosa kwenye maji ya kina kirefu akiwa na mtoto aliyekuwa akipiga kelele akisema ‘baba unaniua, baba unaniua’,” zinaeleza taarifa hizo.

“Walifanikiwa kumtoa katika maji akiwa na mtoto huyo na anashikiliwa na polisi. Mtoto naye yupo salama.”

Haters bwana, hapo ulitaka waokoeje mkuu, waruke kama Rambo huku helkopta ikiwa juu na au parachute zihusike.

Makomando wetu wakati wa maonyesho yao wakishuka na helkopta, hiyo helkopta inaitwa ya mabox, bunduki zitakazo tumika utaambiwa ni toleo la miaka 200 iliyopita....

Haters shikamooni..

Hao Askari kweli?

Yaaani kama kwenye hii clip Askari wetu ndio wana mafunzo kama haya.
Maana yake askari wetu ni

Taka taka kabisa

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mnamo tarehe 19/12/2019 majira ya SAA 18:30hrs A/Insp Mganga nikiwa na askari wenzake doria nyuki tulipata taarifa kuwa maeneo ya nguzo camp site kwenye maporomoko ambako yanakingwa maji ya Railway kuna mtu anakata mabomba ya miundo mbinu ya maji na anaoneka akiwa na mtoto anayekadiriwa kuwa na umri 5_7 akiwa amemshikilia ndani ya maporomoko ya maji,huku akiwa na panga na msumeno kitendo kinachoashiria kuwa na nia ovu dhidi yake na mtoto. Askari wametumia ujasili was hali ya juu kuokoa maisha yake na mtoto Mara baada ya mtu huyo kujitosa kwenye kina cha maporomoko marefu ya maji na kufanikiwa kuwaokoa maisha yao.
View attachment 1298392

Jr

Update
Hili tukio si Mbweni ya Dsm kama inavyotangazwa kwa sababu zifuatazo:
1. DSM hakuna mto wenye maji meupe vile mito hii yenye maji meupe hupatikana sehemu yenye milima kama vile, Moro, Mbeya, Kilimanjaro Tanga na Arusha.
2. Dar hakuna mto unaokuwa na Maporoko ya maji (water falls) kama inavyoonekana.
3. DSM hususani Mbweni iliyojirani na bahari hakuna mawe (miamba) ya namna ile kama yanayoonekana miamba ya pwani (coastal rocks) ina julikana kwa kuiona.
Ni kweli tukio hili limetokea Tanzania kutokana na lugha inayozungumzwa pale lakini si Mbweni ya Dsm.
Mshana Jr jamaa alitoa mimacho kaaa tochi
 
Back
Top Bottom