Finegirlone
JF-Expert Member
- Oct 9, 2018
- 1,836
- 3,616
Daah ni Mungu tu amemuokoa huyo mtotoInasemekana alikuwa kwenye maandalizi ya kumuua
Jr![]()
Sent using Jamii Forums mobile app
Daah ni Mungu tu amemuokoa huyo mtotoInasemekana alikuwa kwenye maandalizi ya kumuua
Jr![]()
Nimeiangalia video ila naisi kafara au labda mzee aliambiwa mtoto si wake akataka aondoke naye
Sent using Jamii Forums mobile app
Kunakuaga na sungusungu sikuhiz nao wanapanda ktk difenda,Hao Askari kweli?
Yaaani kama kwenye hii clip Askari wetu ndio wana mafunzo kama haya.
Maana yake askari wetu ni
Taka taka kabisa
Acha kabisa kuandika upumbavu tena nakuonya koma kabisa kuita askari polisi takatakaHao Askari kweli?
Yaaani kama kwenye hii clip Askari wetu ndio wana mafunzo kama haya.
Maana yake askari wetu ni 🚮🚮🚮🚮🚮🚮🚮🚮
Taka taka kabisa
Mnamo tarehe 19/12/2019 majira ya SAA 18:30hrs A/Insp Mganga nikiwa na askari wenzake doria nyuki tulipata taarifa kuwa maeneo ya nguzo camp site kwenye maporomoko ambako yanakingwa maji ya Railway kuna mtu anakata mabomba ya miundo mbinu ya maji na anaoneka akiwa na mtoto anayekadiriwa kuwa na umri 5_7 akiwa amemshikilia ndani ya maporomoko ya maji,huku akiwa na panga na msumeno kitendo kinachoashiria kuwa na nia ovu dhidi yake na mtoto. Askari wametumia ujasili was hali ya juu kuokoa maisha yake na mtoto Mara baada ya mtu huyo kujitosa kwenye kina cha maporomoko marefu ya maji na kufanikiwa kuwaokoa maisha yao.
View attachment 1298392
Jr
Update
Hili tukio si Mbweni ya Dsm kama inavyotangazwa kwa sababu zifuatazo:
1. DSM hakuna mto wenye maji meupe vile mito hii yenye maji meupe hupatikana sehemu yenye milima kama vile, Moro, Mbeya, Kilimanjaro Tanga na Arusha.
2. Dar hakuna mto unaokuwa na Maporoko ya maji (water falls) kama inavyoonekana.
3. DSM hususani Mbweni iliyojirani na bahari hakuna mawe (miamba) ya namna ile kama yanayoonekana miamba ya pwani (coastal rocks) ina julikana kwa kuiona.
Ni kweli tukio hili limetokea Tanzania kutokana na lugha inayozungumzwa pale lakini si Mbweni ya Dsm.
Mbna kama huyo baba yupo uchi na mtt yupo uchi
Kama sio Moshi Arusha
Cha kushangaza huyo mtoto toka mwanzo alikuwa kimya kama kapigwa ganzi ya mwili sijui alimpa nini yaani nijuavyo kwa watoto wengine hicho kilio kingetoka hapo kingeamsha mpaka mtaa wa pili huyu sijui alilishwa niniBado sijapata kisa chote kwa ukamilifu
Jr![]()
Hawakawii kusema upelelezi haujakamilika nachokaga hapotuHuyo afikishwe kwenye vyo vya haki.
Hapo kwa haraka kuna tuhuma za
1. Jaribio la kuua kwa kukusudia na ushahidi wa mazingira uko wazi kabisa kupitia hiyo video.
2. Jaribio la ubakaji ushahidi huo halo
3. Jinai
4. N.k
Sent using Jamii Forums mobile app
Wamejitahidi sana ulitaka waende kichwa kichwa kama pana kina kirefu wakafe wote wee vipi?Hao Askari kweli?
Yaaani kama kwenye hii clip Askari wetu ndio wana mafunzo kama haya.
Maana yake askari wetu ni
Taka taka kabisa
Ilitakiwa wampe vitasa vya maanaDah yani naona kama hao jamaa walikuwa wanapoa yani mpaka anatoka kwenye maji kila mahali kunatakiwa kuvimbe, asee hhehe op ijayo wakipata wa hivo niwepo
Aisee! Yaani kuna watu mmejaa kejeli kwa kila kitu.Hao Askari kweli?
Yaaani kama kwenye hii clip Askari wetu ndio wana mafunzo kama haya.
Maana yake askari wetu ni
Taka taka kabisa