All the way to Arusha,hodi wenyeji

All the way to Arusha,hodi wenyeji

Arabela nakupenda, hata sijui nimchague nani kati yako wewe na Preta,.ilautakuja kwenye harusi yangu..??
 
Last edited by a moderator:
Karibu tupo. Ia kama wewe sio mjanja siji kama utapata wa kukagua; kamba mguuni itakuponza
 
Hulali we mwanamke?
Yan muda wa cha asbh we ushakurupukia chitchat?
We sikutaki King'asti
 
Last edited by a moderator:
Paw hayupo, alienda vatican kuchagua papa. Nimewahi kuamka nimuone kwenye tv ili nimerkodi jamani!
Hahahahahaaa
Bora aende ili akirudi aachane na Ban
Hivi yupo kweli mbona simuoni siku hizi?
Yeye ( Paw ) na Roulette wamepotea sana
Ukiwaona waambie waje kutusalimu!
 
Last edited by a moderator:
wasalamu,
Natinga Arusha baada ya mara yangu ya mwisho 2010.nitakuwa kikazi zaidi,naomba member wa Chitchat A-town mnichagulie member mmoja wa KE,nimfanyie ukaguzi,anichanganye hadi nisahau kazi iliyo nileta.
byebye my parents Mamndeny and Mr Rocky my dear sister Remmy
copy to Arushaone

Karibu sana Mkuu ila ombi lako ni gumu kufanikiwa! Hakuna wakulifanyia kazi
 
Last edited by a moderator:
Mmmmh, hivi kweli?
all the best son,
utaniletea zawadi gani?

wasalamu,
Natinga Arusha baada ya mara yangu ya mwisho 2010.nitakuwa kikazi zaidi,naomba member wa Chitchat A-town mnichagulie member mmoja wa KE,nimfanyie ukaguzi,anichanganye hadi nisahau kazi iliyo nileta.
byebye my parents Mamndeny and Mr Rocky my dear sister Remmy
copy to Arushaone
 
wasalamu,
Natinga Arusha baada ya mara yangu ya mwisho 2010.nitakuwa kikazi zaidi,naomba member wa Chitchat A-town mnichagulie member mmoja wa KE,nimfanyie ukaguzi,anichanganye hadi nisahau kazi iliyo nileta.
byebye my parents Mamndeny and Mr Rocky my dear sister Remmy
copy to Arushaone

hivi ni mimi mwenyewe huo mstari mwekundu umeniboa au.....
 
Back
Top Bottom