Sio wewe tu! Mimi na heshima yangu ya ndoa imeniboa na natamani wife wangu marejesho asione!
safari Njema...
hivi ni mimi mwenyewe huo mstari mwekundu umeniboa au.....
Karibu
dah.....naona sasa tumeanza kuvunjiana heshima.....itabidi wageni wapya tuanze kuwapotezea.....tutamaintain wale wa zamani wenye nidhamu......
naomba kutoa angalizo.......kama mtindo ndio huu......kwa nini tusikomelee kwa wageni wa 2012......kuanzia 2013....tuache kupokea wapya.....wakija waje kimpango wao....(serious on this)
cc😡PakaJimmy, Lily Flower, marejesho, Mungi, Erickb52, Mzee wa Rula, Arushaone, sweetlady, Blaki Womani,
Karibu sana my son Ruhazwe JR
Wenyeji wako tupo karibu sana
Karibu sana Mkuu ila ombi lako ni gumu kufanikiwa! Hakuna wakulifanyia kazi
Tumtupie taulo lakini tujipange kumpokea.
kile kitu chetu eeh? Usijal hilo umepata
Paw hayupo, alienda vatican kuchagua papa. Nimewahi kuamka nimuone kwenye tv ili nimerkodi jamani!
Mmmmh, hivi kweli?
all the best son,
utaniletea zawadi gani?
momy ngoja nifike ntaangalia zawadi ya kuweza kukufurahisha