Ruhazwe JR
JF-Expert Member
- Jan 31, 2011
- 3,402
- 944
All the best son.
dah.....naona sasa tumeanza kuvunjiana heshima.....itabidi wageni wapya tuanze kuwapotezea.....tutamaintain wale wa zamani wenye nidhamu......
naomba kutoa angalizo.......kama mtindo ndio huu......kwa nini tusikomelee kwa wageni wa 2012......kuanzia 2013....tuache kupokea wapya.....wakija waje kimpango wao....(serious on this)
cc😡PakaJimmy, Lily Flower, marejesho, Mungi, Erickb52, Mzee wa Rula, Arushaone, sweetlady, Blaki Womani,
umeanza na wewe,niweke bible...dah!mtoto upo faster
Afu muulize anamfungulia lini Baba V..!??
Kumbe Paw ni nanihii yule ambaye ndiye mwenyewe aliwakilisha nchi pale vatikani? Nikikumbuka jinale nitarudi.
Hatupokei wageni wapya mwezi huu .......
Samahani kwa usumbufu uliyo jitokeza! !!
bhas utakuwa mshuhudiaji
mamaaaaa..... manoah unataka kunifanya nini tena?