thA goD
JF-Expert Member
- Jul 27, 2017
- 1,943
- 1,858
Thanks sana kwa usahihishaji.siyo hivyo mkuu inaitwa CASTRATION
Nimejifunza asante sana mkuu be blessed
Thanks sana kwa usahihishaji.siyo hivyo mkuu inaitwa CASTRATION
Kuna miaka fulani nlikuwa mbeya nlikuwa nakaa mitaa ya block t nlikuwa na miaka kama 17 hivi kuna siku majambazi walivamia kota za wa denish danida hapo wakapora hadi wakawabaka wamama wa kizungu kumbe pale kulikuwa na camera za cctv jambazi moja naitwa jombi naye akaonekana kutokana na sakata hilo kupamba moto jombi alitoroka nje ya nchiKabisa mkuu, hawa jamaa wa aina hii waliua mzee wangu. Toka wamuue hua nikiona mtu anafanya biashara hii hua namuona ni katili sana asie na utu yani kukuua haogopi. Hao walio hukumiwa kifo hakyanani kiroho safi kabisa wanyongwe tu hata leo.
pamoja mkuuThanks sana kwa usahihishaji.
Nimejifunza asante sana mkuu be blessed
Cha ajabu watu bado wanamtetea huyo mredii, kilicho kosekana ni ushahidi ila ukiangalia mazingira ya hiyo ramani ya kumuua Msuya na jamaa ni wàkunyongwa tu bila kupepesa macho. Kuna mambo mengine hua mpaka yakutokee au yamtokee mtu wako wa karibu ndio unaweza elewa vizuri.Kuna miaka fulani nlikuwa mbeya nlikuwa nakaa mitaa ya block t nlikuwa na miaka kama 17 hivi kuna siku majambazi walivamia kota za wa denish danida hapo wakapora hadi wakawabaka wamama wa kizungu kumbe pale kulikuwa na camera za cctv jambazi moja naitwa jombi naye akaonekana kutokana na sakata hilo kupamba moto jombi alitoroka nje ya nchi
Tukio lile liliwazingua sana wadenish maana nakumbuka enzi Hizo mbeya majambazi walikuwa wanaishia kama macow boys kwenye sinema zile
Ubabe,unyamaunyama
Ova
Ndomana kapewa kilema kumtia adabu potelea mbali inaitwa hiyoCha ajabu watu bado wanamtetea huyo mredii, kilicho kosekana ni ushahidi ila ukiangalia mazingira ya hiyo ramani ya kumuua Msuya na jamaa ni wàkunyongwa tu bila kupepesa macho. Kuna mambo mengine hua mpaka yakutokee au yamtokee mtu wako wa karibu ndio unaweza elewa vizuri.
Yap,inasemekana ni mtu wa front ila ni mtaalamu wa kupoteza ushahidiUnamaanisha jamaa huwa hataki u front line!!
Kama ulisha wahi kuvamiwa na mwizi, mtu yoyote hata kama ni mwema akasingiziwa ni mwizi lazma ule nae konaCha ajabu watu bado wanamtetea huyo mredii, kilicho kosekana ni ushahidi ila ukiangalia mazingira ya hiyo ramani ya kumuua Msuya na jamaa ni wàkunyongwa tu bila kupepesa macho. Kuna mambo mengine hua mpaka yakutokee au yamtokee mtu wako wa karibu ndio unaweza elewa vizuri.
Hao wanaowatetea hawajayakutaKama ulisha wahi kuvamiwa na mwizi, mtu yoyote hata kama ni mwema akasingiziwa ni mwizi lazma ule nae kona
Mwizi kama ushahidi upo siyo mtu wa kumtetea
Ndio mkuu, mimi hata kibaka tu akijichanganya kama namuweza hua nahakikisha analoana kabisa yani namvuruga haswa.Kama ulisha wahi kuvamiwa na mwizi, mtu yoyote hata kama ni mwema akasingiziwa ni mwizi lazma ule nae kona
Mwizi kama ushahidi upo siyo mtu wa kumtetea
Sanaaa dahMaumivu yahuyu Jamaa ni makubwa mnoo
Mtu akasema ' tunaweza kamata mia, tukawaachia wote akabaki mmoja'
Wakati huo hawa 99 unakuta wamepigika mno kwa makosa yasokua yao.
Miaka mitano ? Kiuchum. Kiafya,kijamii, Amerudishwa nyuma sana.
Too bad mkuu bila hatiaN tendo la uchungu linalohusisha kuzibanisha korodani kwa chuma ama mbao....Linaweza pelekea mtu kuwa hanithi au kupungua nguvu za kiume
Hata uzima wake mashaka matupu mwili umebaki kama skrepa hauna kaziNdomana kapewa kilema kumtia adabu potelea mbali inaitwa hiyo
Ova
Hii ya kukana Mahakamani lazima ujipange tangu Day one unaingia kwenye Interrogation maana Mahakama pia wanaangalia unachosemaPrimitive technology,wengi wanakubali kuepuka ulemavu wakifika mahakamani ukana maelezo yao.
Ye si bingwa wa kufuta ushahidi akiwa polisi watu kama hao wanajua fika mahakamani wata fanya manuva kuchomoka....ndomana kapewa alichostahiliHata uzima wake mashaka matupu mwili umebaki kama skrepa hauna kazi
Unapohasiwa Mnara unakosa uwezo wakuinukaUkihasiwa hutoweza kuzaa,je kupiga mambo je?
Kama ni kweli ukutenda wala kushiriki wala kujuana na wahalifu,unaweza ukajitungia kuepuka ulemavu,lakini haitokuwa na link ya tukio kama ukushiriki.Hii ya kukana Mahakamani lazima ujipange tangu Day one unaingia kwenye Interrogation maana Mahakama pia wanaangalia unachosema
Ikiwa hukufanyiwa namna hiyo haimaanishi havipo na mpaka upelekwe huko lazima uwe na Msala mkubwa na umegoma kunyoosha MaelezoHakuna...sikufanyiwa chochote na hakuna mateso.
Mie nimekaa na nimejionea.
Hakuna no stori tu
Sasa hivi hiyo mambo wamehamishia pale TazaraSitaki Shari kuna sehemu pale polisi wanapaita msemakweli kwa wanaojua watafahamu namanisha nini!
Ova
Mapunda?No...nilimkuta mkuu wa kituo mwanaume...mweusi
Matibabu ndiyo wanawafanyia hapo aiseSasa hivi hiyo mambo wamehamishia pale Tazara