Aliyeachiwa mauaji ya billionea Msuya (Mredii) aeleza mazito

Aliyeachiwa mauaji ya billionea Msuya (Mredii) aeleza mazito

Hahahhaha
Napakumbuka sana pale.
Dah!!
Kweli maisha ni mzunguko....sikutaraji kama kuna siku nitalala siku 12 selo ya Stakishari.

Ila nimejifunza jambo...askari ni watu wapole na wana utu kuliko tunavyodhani.
Niliamini baada ya kuwa pale na kuzoea mazingira ya Stakishari, kituo kinachoogopeka kuliko vyote Dar.

Si bure wewe, itakuwa uliwahonga papuchi wewe
 
Staki shari ni ballaa siku moja ni likuwa na msala ni kawekwa selo maturubai.sasa mle ndani waharifu sugu wakamkaba dogo mmoja akazima.dogo alatolewa Nje apate hewa watu wakawataja wakabaji wakapelekwa Kule nyuma wanaita gereji wote walirudi wanatambaa
Aisee imebidi nicheke sana!
Eti walirudi wanatambaa
 
Hakuna sheria inaruhusu hilo mbona unaongea nonsense..... Guantanamo bay watu walikuwa tortured na waliongea ukweli but still walidai fidia na imepelekea watu kuchukuliwa hatua na gereza kuamuriwa kufungwa sasa kama most notorious prison hawaruhusu hilo ndio sembuse jela uchwara za Tanzania?? Huwa nakuheshimu mkuu ila usijustify uonevu kwa kujificha kwenye SHERIA INARUHUSU as if hizo sheria zimetungwa na malaika kwamba hawawezi kukosea ( if at all such rules exist )

Torturing haijawahi kukubalika kwenye modern world ssa cjui unapotosha kwa faida ya nani
Mshauri akashitaki halafu uwe wakili wake. Ujuaji ukiwa mwingi ni ujinga pia
 
Mi naona safi tu, yani ashiriki kwenye mauaji alaf anaanza kulialia kijinga eti analazimiahwa kulala? Adhabu aliyo pata anastahili kabisa na haimtoshi.
 
Hahahah natamani kujua kosa mlilofanya wewe na bae wako.....

Umesema mkienda chooni mnapita kwanza kwenye sero ya wanaume sasa aliyekua anakuchokoza kwamba akusindikize ni mmeo au??
Wanaume wa selo
 
Kwa kweli sehemu nayo ogopa hapa duniani ni selo kunamshikaji wangu alishikwa nilienda kutolea dhamana kipigo alichokuwa amepewa nilijikuta nalia mimi yani alikuwa kapigika aswa na paka anachukuliwa pale apelekwe mahakamani kuna polisi wamesimama na rugu wanakusindikiza kwa kipigo kwenda kupanda gari baada ya wiki kile kituo kiliuwa mtumiwa kwa kipigo
Basi inategemea.
Ila mimi kutoka moyoni...sikuona haya matukio mnayoyataja ya kuteswa sijui mpaka kupewa ulemavu
 
Kuhasiwa (Castration (also known as gonadectomy) is any action, surgical, chemical, or otherwise, by which an individual loses use of the testicles. Surgical castration is bilateral orchiectomy (excision of both testes), and chemical castration uses pharmaceutical drugs to deactivate the testes.
NADHANI UTAKUWA UMEELEWA MKUU

Ahsante kaka nimeelewa
 
Lakini hawa waliohukumiwa si wangetumia trick hiyo?maana maelezo yaliyosomwa yanayodaiwa waliyatoa yalikuwa straight na smooth mno inaonekana wao hawakutaka kupata huo ulemavu na pia kuna sehemu karata zao hawakuzichanga vizuri yakawaumiza?

Huyu jamaa Mredii inaonekana alikaza mwanzo mwisho ila ndo hivyo wameshamtia kilema cha maisha amebaki kuwa mwanaume sarawali.
Umejuaje wao hawajateswa kabla ya kutoa maelezo hayo maana huyu kaeleza gazetini
 
Daah inasikitisha sana
Kwanza sitakishari tangu wavamiwe pale na kuuliwa
Ukijisogeza pale usiku kiboya utashangaa watakavyokuibukia
 
Nadhani Polisi wetu wanakosa uweledi na mbinu za kupeleleza ili kupeleka vithibitisho Mahakamani na wanaishi kutorture watuhumiwa iwe waplead guilty.

Fuatilia mateso wanayopata wafungwa au mahabusu wa makosa ya mauaji na ugaidi huko Marekani na nchi nyingine duniani ndipo uje humu
 
Huyu jamaa aliyeachiwa inabidi awe makini sana uraiani.ajue bado anafatiliwa.
 
Mshauri akashitaki halafu uwe wakili wake. Ujuaji ukiwa mwingi ni ujinga pia
Ndio muache kupotosha nimeweka hapo sheria inayosimamia hilo suala dunia nzima sasa cjui ww na huyo Pohamba mnatoa wapi hizo chai kwamba torture inaruhusiwa

Mnashusha hadhi ya JF
 
Back
Top Bottom