mrangi
JF-Expert Member
- Feb 19, 2014
- 96,211
- 137,616
Alafu alishaka kama gerezani kwa kosa la ujambazi....ndomana wazee walipona hakuna ushahidi wakamua kumtia kilemaKwa maoni yangu nahisi Huyu Jamaa alishiriki mikakati ila alikuwa bingwa wa kufuta alama za kuonesha ushiriki wale Moja Kwa Moja
Kile Kitendo Cha kuamua kuoa nje ya Mkoa Siku ya Tukio ilikuwa technique ya kuhakikisha anachomoa ikitokea issue imebumbuluKa Na hii Ni Mara ya pili anaChomoka kwenye kesi ya Mauaji, nyingine ilikuwa Miaka ya 2000
Kwanini iwe Wewe tu ndio utuhumiwe Kwa zaid ya Mara Moja Na Yeye anajitetea Kuwa Ni Kwa sababu ana Urafiki Na watuhumiwa
Hawa wanakuwaga wajanja sana wanajua kukwepa mambo
Ova