Aliyeachiwa mauaji ya billionea Msuya (Mredii) aeleza mazito

Aliyeachiwa mauaji ya billionea Msuya (Mredii) aeleza mazito

Sheria za marekani na dunia nzima haziruhusu na ukifanyiwa unalipwa mamilion ukishtaki
View attachment 821928
Mkuu nilimsikiliza jamaa angu 1yeye anahusika na haya maswala ya sheria (mwanasheria) akanambia kuhusu maswala ya torturing yanaruhusiwa endapo yataleta majibu yaliyo kuwa yanatakiwa na hao askari mfano askari wakitaka kujua kama jamaa alihusika au la ila jamaa akawa mbishi kutoa ushirikiano then polisi watatumia torture kukufanya utoe maelezo wakipata maelezo waliyokua wanayataka na ikawa ni kweli ulihusika then kwa hapo torture inahesabika kama msaada katika kufikia majibu tarajiwa

Ila kama walitumia torture afu baada ya kesi ikaja julikana kwamba hukuhusika let's say na tukio walilo kua wana Ku link nalo hapo torture inakua ni kinyume cha sheria so unaweza dai fidia na ukalipwa kwa kufungua kesi nyingine mahakamani

Sasa ukija kwenye kesi ya hawa jamaa kwa kua kesi imeamuliwa na jamaa kaonekana hakuna usharidi wa kumtia hatiani then jamaa anaweza fungua kesi nyingine ya madai kwa kufanyiwa vitu kinyume na sheria

Pili kumbuka kwenye hiyo list wa watuhumumiwa akua pekeake so it's oblivious na wenzake pia walisha pata torture katika harakati za kukamilisha ushaidi ila sasa kwa sababu hiyo njia ya torture ndo imetumika kuleta ushaidi unaotakiwa mahakamani na kufanya jamaa kukutwa na hatia then katika mazingira kama hayo hiyo torturing inakua Imetumika kama njia kukamilisha ushaidi

So hao jamaa walio tiwa hatiani kwenye kesi hiyo hawaezi kuomba fidia na torturing kwao inachukuliwa kama ni sawa tuu kama sehemu ya kukamilisha ushaidi
 
Mmmh hujafa hujaumbika. Si unaona jamaa kachezea na bado inaonekana Hana hatia ? Angejua mwanzo ni kona ipi wakimpeleka atafanywa mbaya angetoa maelezo Mapema tu bila kufanyiwa torture.

Kujua mazingira Mapema ni muhimu mkuu.
Ana uwezo wa kwenda kufungua kesi kuwashtaki na kudai fidia pia
 
Ukiweza ishi jela za afrika huwezi pata tabu kuishi kuzimu
 
Ili uishi kifalme jela uwe na pesa utapata KILA kitu
 
Ulishaingizwa huko msemakweli nini? Haaaa 😁
Miaka ya nyuma polisi ilikuwa kwenda kama picnic tu nlikuwa simalizi wiki 2 lazima niende😂
Sahv nmekuwa mtiifu bana sitaki misala
Nawaogopa wanadam

Ova
 
Nchi ambayo Bunge halioni umuhimu WA kumlinda mtuhumiwa serikali isiyoona umuhimu WA kulifanyia jeshi lake reformation na kuliwezesha na kuona kuwa wanachi wake wanatakiwa wajutie makosa Yao na siyo kukandamizwa Bunge linaloona kutoa adhabu ya miaka 30 ndyo fundisho Kwa wengine adhabu zilizopo saivi kwenye criminal cases ni kubwa kuliko kipindi cha ukoloni na mbaya zaidi zinazidi kuongezwa zaidi na zaidi Leo hii mtu akimpa mwanafunzi mimba anafungwa miaka 30 ni kosa ndyo lkn kwanini isiwe miaka kumi ili atoke amlee mtoto na mtoto apate haki ya malezi Ila ni ukandamizaji ukandamizaji shithole
 
Hivi hawezi kutibiwa akapona kuhasiwa. Naota tu lakini. Huyo mke wake aliesepa nae ako na mambo mob. Why aondoke haraka hivyo.
Hawa vijana wa boda boda wanaharibu sana ndoa za watu[emoji615]
Haiwez kurudi ya kawaida kamwe
Chukua mfano wa mbuzi au ng'ombe aliye hasiwa

Sent from my Infinix X650 using JamiiForums mobile app
 
Hawataki wasomi kwanini, kuna njia ya kuongea na mtu mpaka anachoka anasema kweli. 24 hrsmtu anahojiwa, bila kupumzika( polisi wanapokezana)
 
Back
Top Bottom