Aliyeachiwa mauaji ya billionea Msuya (Mredii) aeleza mazito

Aliyeachiwa mauaji ya billionea Msuya (Mredii) aeleza mazito

Miez michache kabla ya mauaji alikua ametoka jela alihukumiwa miaka 15 kwa ujambazi
Mredi hakuwa mchimbaji huyo alikuwa mashifta tu hapo Mererani kuwavizia wenye mawe au hela kuwafanyia mpango awapore.....
Ndomana polisi walimsulubu wakijua mchezo yake,
Nyie wazoefu hapo ndiyo mnajuaa picha yote nani ni nani hapo!mererani

Ova
 
Kwa taarifa tu kila vitengo cha usalama kila kikosi kazi ukitoa zimamoto.Buraza usiombe tu yakukute

Yakinikuta na wao lazima yawakute tu,kama mbwai mbwai,YOLO my nikka,I ain't scared of 'em MOFOs.
 
Watajuaje na uhakika kuwa wamehusika wakati tukio limetendeka wakati polisi hawapo?
Mkuu nachosema sheria haziruhusu hayo mengine ni jukumu la polisi kutumia mbinu zao walizosomea sio kutesa mtu.... Ushaambiwa 90% ya wanaoteswa huwa wanakiri makosa hata kama hawana hatia sasa hapo wahalifu wa kweli watakamatwa lini??? Umesahau kilichomfanya mwinyi ajiuzuru uwaziri ilikuwa nini kama sio torture za wafungwa?? Hyo kitu hairuhusiwi jamani the rest ni porojo tu

Someni hii sheria ya kimataifa ya UNICAT inayopinga torture hadi za kipolisi

Cc Pohamba
 

Attachments

Yakinikuta na wao lazima yawakute tu,kama mbwai mbwai,YOLO my nikka,I ain't scared of 'em MOFOs.
Utawafanyaje?ww ni kuomba Mungu yasikukute tu.Nnajua kwanini nasema hvyo kuna Watu wakikuoji tu unakojoa mwenyewe na kusoma obituary yko
 
Utawafanyaje?ww ni kuomba Mungu yasikukute tu.Nnajua kwanini nasema hvyo kuna Watu wakikuoji tu unakojoa mwenyewe na kusoma obituary yko
Utawezaje kumfanya kitu mtu mwenye pingu,SMG,Guruneti,Bisibisi,Koleo,Nondo ya moto etc? Wao wakitumia vya mzungu,wewe unatumia vya mswahili ngoma inakua drooo.
 
Unajuwa kwanini water bodies imepigwa marufuku Guantanamo baada ya kuvuja Mbinu walizokuwa wanatumia kutesa ,..mpaka leo ni marufuku marekani kutumia water bodies kutesa

Na huyu mwana mama aliyeteuliwa na trump kuwa bosi wa CIA ,senators mpaka wale wa Republican walipinga uteuzi wake kwasababu ya scandal ya water bodies katika kipindi chake Guantanamo na walitaka atoe ufafanuzi mbele ya congress kabla ya kupitishwa

Unyama haukubaliki popote pale
Unyama haukubaliki lkn unatumika Mr,Jiulize pamoja na skendo hiyo kwanini Congress lilimpitisha Gina na sasa ndo Mkurugenzi mkuu wa Shirika la ujasusi marekani(CIA)
 
Hivi kuhasiwa kwa tafsiri ya Kiingereza inakuwaje? Au mtu aniambie maana ya Kuhasiwa.
Kuhasiwa (Castration (also known as gonadectomy) is any action, surgical, chemical, or otherwise, by which an individual loses use of the testicles. Surgical castration is bilateral orchiectomy (excision of both testes), and chemical castration uses pharmaceutical drugs to deactivate the testes.
NADHANI UTAKUWA UMEELEWA MKUU
 
ni sheria gani inawapa polisi mamlaka ya kumtesa mtuhumiwa kabla ya maamuzi ya mahakama kutolewa
 
Hata Guantanamo wamarekani wamewatesa na wanawatesa magaidi Huko tena zaidi ya alichofanyiwa mredi so ndiyo dunia hiyo.....mhalifu hawezi hojiwa kwa kubembelezwa kwa kupewa keki au pizza aonge
Mhalifu mskie ila ukikutana naye kwenye 18 zap ndiyo utawajua walivyo......
Mimi binafsi nshaingia kwenye 18 zao ila nliponea chupuchupu ila nlionja kipigo kutoka na kitako cha bunduki tena sehemu yenyewe ilikuwa dodoma,wanapaita msitu mtungutu au msitu mtukutu njaa ya kwenda aneti....pori kubwa enzi Hizo hata geti la polisi hakuna pale izava.....walijua tunaenda kununua ufuta kondoa na mshiko tunao basi lilipigwa pini katikati ya pori walikuja watu kama 20 hivi kuna jamaa mmoja alikuwa mmbishi kutoa hela walichomfanya ni balaa walimtoa meno yote,uso ulivimba walimvunja mguu hawa majambazi waskie tu kama ujawahi kutana nao,ila ukiwa mtu wa kuhustle kwenda sehemu mbali mbali ukakutana nao hapo hata jambazi akifanyiwa unyama we utaona2 sawa tu....

Ova
 
uwezo wa migambo wetu kiupelelezi ni mdogo mno, bado wanatumia njia za kienyeji kiupelelezi.
Tz ukituhumiwa ni sawa na kuhukumiwa kwani utadhalilishwa sana
Acha kuingilia professional za watu,torture hiyo ni sehemu ya kubaini uovu ulio fanywa na mtuhumiwa pia kwenye mambo ya upelelezi polisi ndio wamebobea, rejea jinsi walivyo wakamata hao watuhumiwa.

Yani polisi nawakubali sana,hii ndio taasisi yenye weledi pia ina kikosi cha inteligency ya kiwango cha SGR yani hata TISS hawafui dafu mbele ya intelijensia ya polisi. Ni mtazamo wangu tu ila mi sio police man.


Imesomeka!!
 
Siku yatapowakuta kwa ndugu, waume, wake, watoto wenu kuuwawa kinyama na watu wa aina hii ndio mtakapojua ya kwamba Polisi wanao au hawana weledi katika kuyashughulikia majitu ya hovyo aina hiyo katika jamii!
R.I.P MSUYA.
Kabisa mkuu, hawa jamaa wa aina hii waliua mzee wangu. Toka wamuue hua nikiona mtu anafanya biashara hii hua namuona ni katili sana asie na utu yani kukuua haogopi. Hao walio hukumiwa kifo hakyanani kiroho safi kabisa wanyongwe tu hata leo.
 
Usiombe ukaingia mahabusu Na kesi ya kuiba au kuuwa,utateswa mateso yote duniani
 
Acha kuingilia professional za watu,torture hiyo ni sehemu ya kubaini uovu ulio fanywa na mtuhumiwa pia kwenye mambo ya upelelezi polisi ndio wamebobea, rejea jinsi walivyo wakamata hao watuhumiwa.

Yani polisi nawakubali sana,hii ndio taasisi yenye weledi pia ina kikosi cha inteligency ya kiwango cha SGR yani hata TISS hawafui dafu mbele ya intelijensia ya polisi. Ni mtazamo wangu tu ila mi sio police man.


Imesomeka!!
Guantanamo Huko mtu anavishwa mfuko wa plastic usoni +kuingizwa kwenye maji ataongea mwenyewe.....mhalifu mhalifu tu

Ova
 
Back
Top Bottom