AmorePowers
JF-Expert Member
- Jul 28, 2018
- 699
- 1,144
Ukihasiwa hutoweza kuzaa,je kupiga mambo je?
Mkuu weka maelezo kamili ili tujue tukifika huko staki Shari tunyooshe maelezo tu Kabla ya kufikiwa na Haya madhila , maana naamini torturing ni stage ya mwisho pale ushirikiano unapokosekana.Sitaki Shari kuna sehemu pale polisi wanapaita msemakweli kwa wanaojua watafahamu namanisha nini!
Ova
Being Impotent.Hivi kuhasiwa kwa tafsiri ya Kiingereza inakuwaje? Au mtu aniambie maana ya Kuhasiwa.
Hahaha mateso ni kwa wenye kesi za armed bobbery tu na wale Wezi nundazMkuu weka maelezo kamili ili tujue tukifika huko staki Shari tunyooshe maelezo tu Kabla ya kufikiwa na Haya madhila , maana naamini torturing ni stage ya mwisho pale ushirikiano unapokosekana.
Usitoe info nusu nusu kama uko chini ya miti,[emoji2]
Mmmh hujafa hujaumbika. Si unaona jamaa kachezea na bado inaonekana Hana hatia ? Angejua mwanzo ni kona ipi wakimpeleka atafanywa mbaya angetoa maelezo Mapema tu bila kufanyiwa torture.Hahaha mateso ni kwa wenye kesi za armed bobbery tu na wale Wezi nundaz
Ova
Huyo alishakuwa na record ya uhalifu kabla....si unajua tena wazee wa kitengo tena labda aliwanyima ushirikiano mwanzoniMmmh hujafa hujaumbika. Si unaona jamaa kachezea na bado inaonekana Hana hatia ? Angejua mwanzo ni kona ipi wakimpeleka atafanywa mbaya angetoa maelezo Mapema tu bila kufanyiwa torture.
Kujua mazingira Mapema ni muhimu mkuu.
Sasa kama hakutoa ushirikiano Mapema na wataalam wakimuangalia machoni wakiona kuna kitu kina miss.....Huyo alishakuwa na record ya uhalifu kabla....si unajua tena wazee wa kitengo tena labda aliwanyima ushirikiano mwanzoni
Ova
Teh teh kuna mti huo wazee wa ngwasuma wanapelekwaga hapo kuchezaSasa kama hakutoa ushirikiano Mapema na wataalam wakimuangalia machoni wakiona kuna kitu kina miss.....
Ila hapo staki Shari hilo jina tu noma ...sijui panafananaje
Staki shari ni ballaa siku moja ni likuwa na msala ni kawekwa selo maturubai.sasa mle ndani waharifu sugu wakamkaba dogo mmoja akazima.dogo alatolewa Nje apate hewa watu wakawataja wakabaji wakapelekwa Kule nyuma wanaita gereji wote walirudi wanatambaaMkuu weka maelezo kamili ili tujue tukifika huko staki Shari tunyooshe maelezo tu Kabla ya kufikiwa na Haya madhila , maana naamini torturing ni stage ya mwisho pale ushirikiano unapokosekana.
Usitoe info nusu nusu kama uko chini ya miti,[emoji2]
Ni "Castration".Hivi kuhasiwa kwa tafsiri ya Kiingereza inakuwaje? Au mtu aniambie maana ya Kuhasiwa.
Kule Mbona nasikia Hamna noma majamaa wanabembea tu kwenye vitanda vya kamba kwenye miti?Teh teh kuna mti huo wazee wa ngwasuma wanapelekwaga hapo kucheza
Ova
Teh teh hawakusimulia huko gereji kunafanana vipi? Hivi rungu za ugoko zinaweza mfanya mtu asitembee au kumfanya mtu akatoa mkojo mzito ?Staki shari ni ballaa siku moja ni likuwa na msala ni kawekwa selo maturubai.sasa mle ndani waharifu sugu wakamkaba dogo mmoja akazima.dogo alatolewa Nje apate hewa watu wakawataja wakabaji wakapelekwa Kule nyuma wanaita gereji wote walirudi wanatambaa