carter
JF-Expert Member
- Jan 23, 2009
- 3,664
- 4,273
Walikupiga shoti za kwenye shavu Eti ukiwa umetundikwa kwenye miti uchi? Au ni story tu hakuna mateso?Walinipa kesi ya mauaji.
Walikupiga shoti za kwenye shavu Eti ukiwa umetundikwa kwenye miti uchi? Au ni story tu hakuna mateso?Walinipa kesi ya mauaji.
Yap..nilimsumbua sana OC-CID Munuo kumuuliza kuwa nitatoka lini.Aise pole najua ndani unakutana na watu wenye mikasa mingi kama ukiwa na roho ndogo utasema Mimi sitoki
Ova
Si kweli Hiyo kitu, na naamini huwezi kuthibitisha. Maneno ya kusikia hayo.Utaingizwa vijiti mkunduni na hata kulawitiwa na wengi huuliwa hufa
Hahahhaha.....Kukaa siku 12 pale sio mchezo. Hakika wewe ni kidume zaidi ya vidume walamba lips wengi humu JF na mtaani.
Ninapafahamu vilivyo pale. Shughuli yake ni pevu kuliko upevu wenyewe. Nimekupa PhD ya heshima.
Ndio kutolewa korodani,kulawitiwa ,kuingizwa vijiti mkunduniTorturing ipo kisheria na Ipo Dunia nzima
Ikitokea umeteswa Na hatimae umeeleza ukweli uliokuwa umekataa kukiri awali hapo panakuwa Hakuna kosa ila ikitokea umeteswa Na mwishowe taarifa walizotaka kupata kutoka kwako wamekosa Basi una Haki ya kudai fidia Kwa Mujibu wa sheria
Hakuna...sikufanyiwa chochote na hakuna mateso.Walikupiga shoti za kwenye shavu Eti ukiwa umetundikwa kwenye miti uchi? Au ni story tu hakuna mateso?
Na sasa mkulu kasema wateswe zaidi! Sijui itakuwaje? Nawachukia sana askari polisi wa Tz!Ukiweza ishi jela za bongo kuzimu cha mtoto utoshindwa kuishi,heri ukutane na kaburu kuliko kuingia 18 za hawa wabongo.Kwa nje ni watu.
Hujawahi kukutana na waharifu ndugu yangu hivi unafikiri kwa scenario kama ya Bilionea Msuya unafikiria bila torture utampata nani?nani akakuonyeshe smg,nani akwambie jinsi mipango yao ilivyosukwa achana na criminals kabisa!!Nadhani Polisi wetu wanakosa uweledi na mbinu za kupeleleza ili kupeleka vithibitisho Mahakamani na wanaishi kutorture watuhumiwa iwe waplead guilty.
Dah munuo yupo kweli!Yap..nilimsumbua sana OC-CID Munuo kumuuliza kuwa nitatoka lini.
Ila nimegundua kitu kimoja, ukiwa selo, unakuwa na ujasiri wa ajabu sana hasa ukijua kuwa hujatenda kosa.
Nakumbuka wakati naachiwa huru...nililia sana, niligeuka kuwatazama askari wakiwa wananiaga.
Ila ndio hivo, kuna maisha baada ya hukumu
Huwa kuna muda nilikuwa nakaa na kutamani maisha ya mule.
Nilizoeana na askari mpaka wale wenzangu.
Kesi ngumu sana Hizo aiseYap..nilimsumbua sana OC-CID Munuo kumuuliza kuwa nitatoka lini.
Ila nimegundua kitu kimoja, ukiwa selo, unakuwa na ujasiri wa ajabu sana hasa ukijua kuwa hujatenda kosa.
Nakumbuka wakati naachiwa huru...nililia sana, niligeuka kuwatazama askari wakiwa wananiaga.
Ila ndio hivo, kuna maisha baada ya hukumu
Huwa kuna muda nilikuwa nakaa na kutamani maisha ya mule.
Nilizoeana na askari mpaka wale wenzangu.
Sasa Mbona maraia wanasema vitu ambavyo havipo wakati hata vituo vya tiles hawajawahi kuingia seuse staki Shari? Vizuri umetoa ufafanuzi na kwakuwa ulikuwa huko na Aina ya tuhuma zilizokupeleka huko bila Shaka ungepitia magumu kama kweli kungekuwa na hayo mateso.Hakuna...sikufanyiwa chochote na hakuna mateso.
Mie nimekaa na nimejionea.
Hakuna no stori tu
Ndio kutolewa korodani,kulawitiwa ,kuingizwa vijiti mkunduni
Hebu futa kauli yako ya duniani kote nchi zingine waziri,igp nk wanafukuzwa kazi na kushitakiwa polisi ma mkuu wa kituo
Munuo nilimuacha akiwa OC CID bado.Dah munuo yupo kweli!
Kuliwa ndani lazima uwe jasiri usipojiongeza utazidi kukaaa mule unaweza pelekwa mahabusu kubwa....
Sema miaka ya nyuma nlikuwa na misala Hyo sana ya kusekwa ndani maana anatokra mtu unamdai au anakuzingua we unamua kufanya yako lkn mwisho wa Siku inaku cost......ndomana sahvi inabidi uwe mpole tu ukifanya jambo na mtu mbane kisheria tu
Kwanza uk iwa selo Siku masaa hayaendi kabisa yaani
Ova
Wanaoteswa ni wale wenye kesi za ujambazi mkuu au kama kuna taarifa wanaitaka Toka kwako unawabaniaSasa Mbona maraia wanasema vitu ambavyo havipo wakati hata vituo vya tiles hawajawahi kuingia seuse staki Shari? Vizuri umetoa ufafanuzi na kwakuwa ulikuwa huko na Aina ya tuhuma zilizokupeleka huko bila Shaka ungepitia magumu kama kweli kungekuwa na hayo mateso.
Ila wapasikie tuu..
Lazima uwe ngilima......huwezi kuonewa kifala falaMunuo nilimuacha akiwa OC CID bado.
Kuna yule alikuwa mkuu wa kipolisi Ukonga, alikuwa akija, utasikia ananiita, afu ananiuliza upo...basi nikawa nasumbua, anasema, kama huna hatia...utatoka.
Kuwa mvumilivu.
Mpaka nikawa mwenyeji.
Maisha ya kule, yamenibadilisha sana
Hujawahi kukutana na waharifu ndugu yangu hivi unafikiri kwa scenario kama ya Bilionea Msuya unafikiria bila torture utampata nani?nani akakuonyeshe smg,nani akwambie jinsi mipango yao ilivyosukwa achana na criminals kabisa!!
Mie mtu aje aseme hapa...nitatoa ushahidi.Sasa Mbona maraia wanasema vitu ambavyo havipo wakati hata vituo vya tiles hawajawahi kuingia seuse staki Shari? Vizuri umetoa ufafanuzi na kwakuwa ulikuwa huko na Aina ya tuhuma zilizokupeleka huko bila Shaka ungepitia magumu kama kweli kungekuwa na hayo mateso.
Ila wapasikie tuu..
TrueLazima uwe ngilima......huwezi kuonewa kifala fala
Ova
Kuhasi = castrateBeing Impotent.