Kipindi cha Nyerere, adhabu kubwa ya kifungo ilikuwa ni miaka7 ama kifungo cha maisha!Nchi ambayo Bunge halioni umuhimu WA kumlinda mtuhumiwa serikali isiyoona umuhimu WA kulifanyia jeshi lake reformation na kuliwezesha na kuona kuwa wanachi wake wanatakiwa wajutie makosa Yao na siyo kukandamizwa Bunge linaloona kutoa adhabu ya miaka 30 ndyo fundisho Kwa wengine adhabu zilizopo saivi kwenye criminal cases ni kubwa kuliko kipindi cha ukoloni na mbaya zaidi zinazidi kuongezwa zaidi na zaidi Leo hii mtu akimpa mwanafunzi mimba anafungwa miaka 30 ni kosa ndyo lkn kwanini isiwe miaka kumi ili atoke amlee mtoto na mtoto apate haki ya malezi Ila ni ukandamizaji ukandamizaji shithole
Pale wanakua sio watu aisee,ubadilika,kuna ndugu yangu alikuwa bubu na hana shida ya akili marehemu kwa sasa,aliwahi potea kurudi home aisee,akakutana nao alichezea kipigo sana,chomwa sana na sigara eti huyu sio bubu atasema tu,anajifanyisha,tulihangaika usiku kucha aisee,tukampata kituo kimoja yuko hoi.Tukawaelezea kuhusu tatizo alilonalo La ububu,tukaambuliwa kuombwa msamahaa,tukabakia kuugulia moyoni tu kwenda kumtibia ndugu yetu.
Akili za ma failure polisi ndipo mwisho wake.Hivi hakuna njia za kupata confession kutoka kwa mtuhumiwa tofauti na torturing?
Kumbe Ulaya Kuna technology Gani ya kuhakikisha upatikanaji wa taarifa kutoka Kwa watuhumiwa bila maguvu?Primitive technology,wengi wanakubali kuepuka ulemavu wakifika mahakamani ukana maelezo yao.
Castration.Hivi kuhasiwa kwa tafsiri ya Kiingereza inakuwaje? Au mtu aniambie maana ya Kuhasiwa.