Aliyeachiwa mauaji ya billionea Msuya (Mredii) aeleza mazito

Aliyeachiwa mauaji ya billionea Msuya (Mredii) aeleza mazito

Wewe ndio unaleta mambo ya Chama Kwa Kuwa akili yako imeshindwa kuishi bila ya kuwaza hayo mambo
Nimeeleza vizuri Kama hujaelewa sina neno la ziada kukuelewesha. Jukumu langu ni kutoa ELimu Kwa wenzangu humu sio kulazimisha kuelewa
Narudia Tena Torturing inaruhusiwa Kama Na Ni halali Kama inafanikisha mtuhumiwa kutoa taarifa muhimu Za uhalifu wake Na Wenzake kusaidia upelelezi pale anapokataa kutoa Ushirikiano katika Mazungumzo ya kawaida LAKINI ikitokea torturing hiyo haijazaa Matunda Kwa maana ya Mtuhumiwa kutoa hizo taarifa Basi ana haki ya kudai fidia Kwa defamation hiyo
Hakuna sheria inaruhusu hilo mbona unaongea nonsense..... Guantanamo bay watu walikuwa tortured na waliongea ukweli but still walidai fidia na imepelekea watu kuchukuliwa hatua na gereza kuamuriwa kufungwa sasa kama most notorious prison hawaruhusu hilo ndio sembuse jela uchwara za Tanzania?? Huwa nakuheshimu mkuu ila usijustify uonevu kwa kujificha kwenye SHERIA INARUHUSU as if hizo sheria zimetungwa na malaika kwamba hawawezi kukosea ( if at all such rules exist )

Torturing haijawahi kukubalika kwenye modern world ssa cjui unapotosha kwa faida ya nani
 
Shauri njia rahisi ya confession. Mtu anauwa, kila mtu anasema anamuona, lkn akiulizwa anasema si kweli.

Suluba huwa pia inasaidia kuwapata washirika. Tusivyo na utu sisi binadamu, yaani kifo cha Msuya leo si habari tena, hatufikirii familia ilivyo athirika kwa kukosa baba, kiongozi wa kaya, msaada wa hali na mali. Tunasahau familia ilivyotiwa umaskini.

Leo tunaamua kuwalaumu polisi waliowezesha watu watano kunyongwa kati ya sita waliokamatwa. Tunalaum as if hakuna lililofanywa.

Na ukirejea huko nyuma, walikamatwa zaidi ya sita, kwa nini wote hawakufikishwa courtini? Sababu ni kukosekana kwa ushahjdi. Mredii ameachiwa huru kuna sehem ushahidi haujambana, lkn ni muuaji hiyo
Kwahiyo uchunguzi hauwezi fanyika hadi watu watajane?? Kwamba kibano kinasaidia kumbuka walikamatwa watu kibao na walipewa vibano hivyo hivyo ila watuhumiwa waliohusika hawavuki 10 ssa hao wengine ambao hawana makosa kwanni na wenyewe wawe tortured?? Kifo cha mtu isiwe sababu ya kutesa watu wasio na hatia unless muwe na ushahidi kuwa huyu kahusika ila sio mnakamata watu 100 alafu mnawapa kibano wote hyo sio sahihi
 
Torturing ipo kisheria na Ipo Dunia nzima

Ikitokea umeteswa Na hatimae umeeleza ukweli uliokuwa umekataa kukiri awali hapo panakuwa Hakuna kosa ila ikitokea umeteswa Na mwishowe taarifa walizotaka kupata kutoka kwako wamekosa Basi una Haki ya kudai fidia Kwa Mujibu wa sheria
Sijawahi kuona sheria inayosema mtuhumiwa afungue kesi ya madai juu ya wajibu wa afisa wa heshi la polisi. Polisi wanatekeleza kazi yao na kutesa kupo kila nchi ni moja kati ya njia za upelelezi
 
Inasikitisha bora kufa kwa mwanaume kuliko hyo hali. Na kwanini walimfanya hivyo kwani alibaka labda ukitoe hicho kiungo.
 
Duuu mateso Sana
Kiukweli pahali ambapo kuna ukoseaji Wa kutekeleza majukum ni polisi na gerezani
 
Yap..nilimsumbua sana OC-CID Munuo kumuuliza kuwa nitatoka lini.
Ila nimegundua kitu kimoja, ukiwa selo, unakuwa na ujasiri wa ajabu sana hasa ukijua kuwa hujatenda kosa.
Nakumbuka wakati naachiwa huru...nililia sana, niligeuka kuwatazama askari wakiwa wananiaga.
Ila ndio hivo, kuna maisha baada ya hukumu

Huwa kuna muda nilikuwa nakaa na kutamani maisha ya mule.
Nilizoeana na askari mpaka wale wenzangu.
Kwa kweli sehemu nayo ogopa hapa duniani ni selo kunamshikaji wangu alishikwa nilienda kutolea dhamana kipigo alichokuwa amepewa nilijikuta nalia mimi yani alikuwa kapigika aswa na paka anachukuliwa pale apelekwe mahakamani kuna polisi wamesimama na rugu wanakusindikiza kwa kipigo kwenda kupanda gari baada ya wiki kile kituo kiliuwa mtumiwa kwa kipigo
 
Mredii nakushauri fungua law suit ukiwashitaki hao waliokufanyia vitendo hivyo pia dai fidia za muda wako wote na defamation waliyokufanyia. Pia dai gharama za matibabu yako mpaka utakapokuwa sawa.
Atambulia usumbufu tu na fidia atapata embu jiulize yule jamaa aliyekosewa akapasuliwa kichwa alilipwa fidia baada ya miaka 10 ameshazungushwa paka amechoka
 
Hakuna sheria inaruhusu hilo mbona unaongea nonsense..... Guantanamo bay watu walikuwa tortured na waliongea ukweli but still walidai fidia na imepelekea watu kuchukuliwa hatua na gereza kuamuriwa kufungwa sasa kama most notorious prison hawaruhusu hilo ndio sembuse jela uchwara za Tanzania?? Huwa nakuheshimu mkuu ila usijustify uonevu kwa kujificha kwenye SHERIA INARUHUSU as if hizo sheria zimetungwa na malaika kwamba hawawezi kukosea ( if at all such rules exist )

Torturing haijawahi kukubalika kwenye modern world ssa cjui unapotosha kwa faida ya nani
Tatizo lako kubwa Ni kujiona unajua Kila kitu

Waliodai fidia Guantanamo bay Ni wale walioteswa Na baadae kuachiwa huru Kuwa hawana hatia

Alieteswa ili atoe Siri Na taarifa Na baadae alikutwa Na hatia Kwa Siri alizotoa Baada ya kubanwa anaanzaje kudai fidia?

Unamfahamu Khalifa Sheikh Mohamed?, Huyu ndie aliekuwa Director wa Finance wa Alqaedaah ambae Ni miongoni mwa walioteswa zaid Kwa kukataa kutoa Siri Na hakutoa Siri mpaka akahukumiwa uliwahi kusikia Yeye Au Wakili wake wameanzisha Mchakato wa kudai fidia?

Wewe ungekuwa Ni Mpelelelzi Na Vyanzo vyako vya taarifa zimekuthibtishia Kuwa Mtuhumiwa Ni mhusika wa Jinai lakin hataki kutoa ushirikiano ungetumia njia gani kupata taarifa Kwa mtuhumiwa Baada ya kugoma kutoa Ushirikiano?
 
Sijawahi kuona sheria inayosema mtuhumiwa afungue kesi ya madai juu ya wajibu wa afisa wa heshi la polisi. Polisi wanatekeleza kazi yao na kutesa kupo kila nchi ni moja kati ya njia za upelelezi
Kutesa ni lazima ila kuna aina ya mateso hayakubaliki na hata jumuiya za kimataifa zina piga vita kama udhalilishaji wa kulawitiwa ,kuhasiwa nk

Kwann kuna nchi zinawekewa vikwazo ,viongozi wanasemwa na jumuiya za kataifa kwa kufanya unyama gerezani

Kuna utesaji na kuna unyama

Unyama hauruhusiwi popote pale

Nchi inakataza ushoga Sasa kwann muwalawiti watu na kuwahasi huo sio utesaji bali usenge tu
 
Tatizo lako kubwa Ni kujiona unajua Kila kitu

Waliodai fidia Guantanamo bay Ni wale walioteswa Na baadae kuachiwa huru Kuwa hawana hatia

Alieteswa ili atoe Siri Na taarifa Na baadae alikutwa Na hatia Kwa Siri alizotoa Baada ya kubanwa anaanzaje kudai fidia?

Unamfahamu Khalifa Sheikh Mohamed?, Huyu ndie aliekuwa Director wa Finance wa Alqaedaah ambae Ni miongoni mwa walioteswa zaid Kwa kukataa kutoa Siri Na hakutoa Siri mpaka akahukumiwa uliwahi kusikia Yeye Au Wakili wake wameanzisha Mchakato wa kudai fidia?

Wewe ungekuwa Ni Mpelelelzi Na Vyanzo vyako vya taarifa zimekuthibtishia Kuwa Mtuhumiwa Ni mhusika wa Jinai lakin hataki kutoa ushirikiano ungetumia njia gani kupata taarifa Kwa mtuhumiwa Baada ya kugoma kutoa Ushirikiano?
Unajuwa kwanini water bodies imepigwa marufuku Guantanamo baada ya kuvuja Mbinu walizokuwa wanatumia kutesa ,..mpaka leo ni marufuku marekani kutumia water bodies kutesa

Na huyu mwana mama aliyeteuliwa na trump kuwa bosi wa CIA ,senators mpaka wale wa Republican walipinga uteuzi wake kwasababu ya scandal ya water bodies katika kipindi chake Guantanamo na walitaka atoe ufafanuzi mbele ya congress kabla ya kupitishwa

Unyama haukubaliki popote pale
 
Ungejiuliza Kwanini wasipige Marufuku kabisa kutesa badala ya kuchagua tu hayo Mateso ya njia ya Maji? Kwanini Mateso ya aina nyingine Bado yanaendelea? , Wewe unaamini water bodies ndio Mateso mabaya zaid katika orodha ya aina ya Mateso wanayotoa?

Wewe ungekuwa Ni Mpelelelzi ungetumia mbinu gani Kwa mtuhumiwa anaekataa kutoa taarifa Za ushiriki wake kwenye uhalifu wakati taarifa zako Za awali Na Za uhakika zimekuthibitishia Ni Mtuhumiwa?
 
Dawa ushirikina tu. Aelekee maeneo. Kama kweli haki yake amedhulumiwa. Wabaya wote waliomtesa wanapuputika mmoja baada ya mmoja tena kwa mateso makubwa. Ila kama kweli alihusika ndani ya nafsi anajijua apotezee
 
Hahahhah.
Unajua niliwekwa ndani mie na shemela wako.
Nilikuwa naletewa toka home daily.
Shemela wako akiletewa nakula au mie nililetewa nakula nae.

Ila utaratibu wao mzuri.
Mletaji chakula....unakula in front of wao, after 2 minutes ndo waletewa
Hahahah natamani kujua kosa mlilofanya wewe na bae wako.....

Umesema mkienda chooni mnapita kwanza kwenye sero ya wanaume sasa aliyekua anakuchokoza kwamba akusindikize ni mmeo au??
 
He's now half a man without family jewels. Ningekuwa mimi nisingeutangazia ulimwengu.
 
Hahahaha

Serikal hailogwi
Huirogi serikali. Unawaroga waliokutesa. Miaka kadhaa nyuma nakumbuka, ndugu yetu alikua CID, aliteseka sana kwa maradhi ya kishirikina. Alizunguka kwa waganga na kote aliambiwa suluhu ni kumpata aliyemfanyia vile. Alihangaika sana mpaka umauti wake. Maana walozi walimhangaikia bila mafanikio. Ila kwa yeye aliyemfanyia ubaya huo alikua ni jambazi baya na sugu.
 
Kuteswa ni kweli ila hiyo kulawitiwa si kweli,ina maana ni polisi ndiye anayekulawiti ?
mnh !!!
Mimi pia nmeshangaa sana kama police atamtesa MTU hadi kumlawiti
 
Kwahiyo uchunguzi hauwezi fanyika hadi watu watajane?? Kwamba kibano kinasaidia kumbuka walikamatwa watu kibao na walipewa vibano hivyo hivyo ila watuhumiwa waliohusika hawavuki 10 ssa hao wengine ambao hawana makosa kwanni na wenyewe wawe tortured?? Kifo cha mtu isiwe sababu ya kutesa watu wasio na hatia unless muwe na ushahidi kuwa huyu kahusika ila sio mnakamata watu 100 alafu mnawapa kibano wote hyo sio sahihi
Watajuaje na uhakika kuwa wamehusika wakati tukio limetendeka wakati polisi hawapo?
 
Huyo awadanganye hao mwananchi kabla ya tukio hilo alikua magereza kwa case ya ujambazi tena alihukumiwa miaka 15,anaijua jela kuliko kamishna mpya wa magereza,istoshe hakua mchimbaji zaidi ya mwizi
Mkuu hebu funguka zaidi.. Alishawahi kupigwa mvua 15?
 
Tatizo lako kubwa Ni kujiona unajua Kila kitu

Waliodai fidia Guantanamo bay Ni wale walioteswa Na baadae kuachiwa huru Kuwa hawana hatia

Alieteswa ili atoe Siri Na taarifa Na baadae alikutwa Na hatia Kwa Siri alizotoa Baada ya kubanwa anaanzaje kudai fidia?

Unamfahamu Khalifa Sheikh Mohamed?, Huyu ndie aliekuwa Director wa Finance wa Alqaedaah ambae Ni miongoni mwa walioteswa zaid Kwa kukataa kutoa Siri Na hakutoa Siri mpaka akahukumiwa uliwahi kusikia Yeye Au Wakili wake wameanzisha Mchakato wa kudai fidia?

Wewe ungekuwa Ni Mpelelelzi Na Vyanzo vyako vya taarifa zimekuthibtishia Kuwa Mtuhumiwa Ni mhusika wa Jinai lakin hataki kutoa ushirikiano ungetumia njia gani kupata taarifa Kwa mtuhumiwa Baada ya kugoma kutoa Ushirikiano?
Acha uongo mkuu yupo sana gaidi mmoja alibanwa na akakiri kuhusika ila bado alilipwa fidia kama kawaida ngoja niisake taarifa yake niscreenshot humu sijui unapotosha kwa faida ya nani ww jamaa

Alafu bado nasubiri unipe sheria inayoruhusu kutorture watu kokote pale duniani maana naona unaongea usiyoyajua

Screenshot_2018-07-29-11-21-20.png
 
Back
Top Bottom