peno hasegawa
JF-Expert Member
- Feb 24, 2016
- 12,818
- 21,425
Mwezi mmoja, wamefariki watumishi wawili muhimu ndani ya ofisi moja, tena ofisi muhimu,then uwaambie watu zaidi milion 60 msikilize kaeni kimya?Kwa wale wahenga akina Pascal Mayalla, Mrangi, Mmawia na mzee Mgaya mtakumbuka baada ya aliyekuwa waziri mkuu hayati Sokoine kufa kwa ajali ya gari Morogoro kuna wanasiasa wawili walisingiziwa kuhusika na kifo chake....