Alipokufa Sokoine hapakuwepo mitandao ya kijamii lakini kuna Wanasiasa wawili walisingiziwa kuhusika. Hii tabia ilianza zamani

Kwa wale wahenga akina Pascal Mayalla, Mrangi, Mmawia na mzee Mgaya mtakumbuka baada ya aliyekuwa waziri mkuu hayati Sokoine kufa kwa ajali ya gari Morogoro kuna wanasiasa wawili walisingiziwa kuhusika na kifo chake...
Yeye alikemea wa mitandaoni tu
 
Hiyo ndiyo wazungu wanaita public sentiment ambayo hutengenezwa na watu kwa maslahi yao. Wakati unahangaika kuuzima moto wa uzushi huo wao wanafanya yao.
 
Kwa wale wahenga akina Pascal Mayalla, Mrangi, Mmawia na mzee Mgaya mtakumbuka baada ya aliyekuwa waziri mkuu hayati Sokoine kufa kwa ajali ya gari Morogoro kuna wanasiasa wawili walisingiziwa kuhusika na kifo chake...
Hata ktk jamii zetu, mitaani na vijijini tunakoishi, vifo vya watu hupata mtu wa kusingizia. Pamoja na kutumia neno kusingizia, tuelwe wazi kwamba hii haitokei bila sababu. Wanaosingiziwa mara nyingi wana matatizo ya tabia ktk jamii. Ukiona mtu kasingiziwa ujue huyo mtu ana matatizo ya tabia na uhusiano na wengine.

Hawa wanaosingiziwa kwenye vifo vya wanasiasa, nawaona ni watu wenye tamaa kubwa sana ya kupata au kurudi madarakani, au kufaidika na nafasi za kisiasa. Wanaposingiziwa ni haki yao, na ni nafasi yao kujirekebisha. Tusiwatetee.
 
Nimekuelewa bwashee!
 
Sasa inabidi aikimbie nchi maana uongozi umebadilika na wala asijidanganye kuishi kwa mazoea.

Alikuwa anaongea lolote analojisikia kipindi cha mwendazake.
Zama za unafiki,zama za kujipendekeza ,kuimba kwaya Ili uishi zilishapita hata yule shehe wa bashite atakuwa na hali ngumu Sana
 
Wana kipindi kigumu sana watu walio zoea kupata ridhiki kwa kuuza maneno ya umbea na uchonganishi.
 
Walizoezwa vibaya wapambe kutwa mbele ya camera kulitajataja jina lile mara nyingi kuliko hata kuliita jina la Mungu Ili kumfurahisha mwendazake Ili awape teuzi au asiwatumbue.
 
Ndiyo maana sasa hivi wapo kama yatima
 
Back
Top Bottom